Gazeti la Mwanahalisi limepoteza mvuto wake linapigwa jua kwenye vibanda

Wanabodi.
Leo ni Jumatano ya sita kila nikipita kwenye meza za kuuzia magazeti mitaa ya Kariakoo..

Inasikitisha kuona Gazeti la Mwanahalisi kupoteza mvuto wake iliokuwa nao apo mwanzo sijui tatizo ni nini watu wamegoma kulinunua.

Ikifika jioni saa 12 magazeti wanayauza kwa kilo sijui mikoani kuna hali gani wana Chadema msaidieni Said Kubenea..

Kwa shilingi mia nane watanunua wachache sana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom