Gazeti la Mwanahalisi kufunguliwa

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
463
1,107
Wadau umuofia kwenu...

Habari toka jikoni zinasema kuna harakati Mwanahalisi online liendelee kutupa habari kama mtanzania na mwananchi online yalivyoruhusiwa.

Ni baada ya wataalamu wa sheria kudadavua tofauti ya kuchapa na kubandika (posting) kwani mabandiko ya online hayapitii kwa msajiri wa magazeti.

Pia Mwambene jurisdiction yake inaishia wizara ya habari,michezo na utamaduni na sio mpaka TCRA iliyoko chini ya wizara ya sayansi na teknolojia wanaoguide mawasiliano na mabandiko ya kielectroniki.

Source: mimi mwenyewe
 
Ni haki yao tena walifungulie haraka sana.
 
kuna tofauti kati ya kuruhusiwa na kufunguliwa, nafikiri ulimaanisha kuruhusiwa online.

kama ndivyo bado shida iko palepale tunahitaji uhuru wa kuhabarika kupitia gazeti je ni wangapi wanaweza kudadavua mtandaoni?

pia mauzo ya gazeti ni sehemu ya ajira pana kwa vijana raia wa nchi hii.
 
kaka mi sio mtaalamu wa lugha lakini we jua kuna mwanga unataka kupatikana kuhusu ajira hata matangazo ya biashara na matangazo ya kazi online zinaweza kuwa ajira kwa wamiliki wa web na wasomaji respectively
 
Wadau umuofia kwenu...

Habari toka jikoni zinasema kuna harakati mwanahalisi online liendelee kutupa habari kama mtanzania na mwananchi online yalivyoruhusiwa. Ni baada ya wataalamu wa sheria kudadavua tofauti ya kuchapa na kubandika(posting) kwani mabandiko ya online hayapitii kwa msajiri wa magazeti. Pia mwambene jurisdiction yake inaishia wizara ya habari,michezo na utamaduni na sio mpaka TCRA iliyoko chini ya wizara ya sayansi na teknolojia wanaoguide mawasiliano na mabandiko ya kielectroniki.

Source: mimi mwenyewe

Duu source wewe mwenyeo!
 
Wataandika nini au MAWIO litafutwa?
 
Mada haina mashiko.
 
utakuwaje source wewe mwenyewe? wewe ni REDIO, TV au Gazeti?
 
Teh teh teh, sijui hii ni redio inaongea kwenye hii mada.

ok nimeteua ma------ yawe source.jadili hoja na sio mtu.nyie msikariri source kwani hata tv,radio,magazeti na blog vyanzo vyao ni watu kama mimi.mimi similiki chombo cha habari bt in jf i dare to talk openly.
 
Wadau umuofia kwenu...

Habari toka jikoni zinasema kuna harakati Mwanahalisi online liendelee kutupa habari kama mtanzania na mwananchi online yalivyoruhusiwa.

Ni baada ya wataalamu wa sheria kudadavua tofauti ya kuchapa na kubandika (posting) kwani mabandiko ya online hayapitii kwa msajiri wa magazeti.

Pia Mwambene jurisdiction yake inaishia wizara ya habari,michezo na utamaduni na sio mpaka TCRA iliyoko chini ya wizara ya sayansi na teknolojia wanaoguide mawasiliano na mabandiko ya kielectroniki.

Source: mimi mwenyewe

Duh, nao wameshaanza kuchapisha habari mpya. Hiyo hapo link ya mwanahalisi online
 
Back
Top Bottom