Gazeti la mawio n.k, jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba

Status
Not open for further replies.

Dr. Mwigulu Nchemba

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
416
2,037
Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe.
1) Leo wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me. I do not find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua, hana kipaji and and he is outdated.

Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS FROM NOW? KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWEN KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.
2) Majuzi hivi bila... aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu mkutano wenu,kisa Nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu lililipuliwa hapohapo ars mbona hamlisemi nani alilipua hilo. Zote hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR MY CHARACTER TO BE AFRAID. This won't stop me, subirini kesi ianze watanzania watawajua cos mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. Eti anavaa kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika. What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na mabomu?
3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini MKT wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka mnatengeneza na picha za kuunga.
4) Hata mkanda ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpangia na kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini? Cos alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye aseme yale ili arekodiwe? Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move from Glory to Glory.
TUTAHESHIMIANA TU.










 
Am 38 yrs old

OMG what a lie! 2013-1978 ≠ 38........wewe mtu mwongo kabisa

Parliament of Tanzania


SalutationHonourableMember picture
1661.jpg
First Name:Mwigulu
Middle Name:Lameck
Last Name:Nchemba
Member Type:Constituency Member
Constituent:Iramba Magharibi
Political Party:CCM
Office Location:Box 52 Kiomboi, Iramba
Office Phone:+255 878 513446/+255 757 946223
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:mnchemba@parliament .go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth7 July 1978
 
Kumekucha, kumekucha, R.I.P Mwanahalisi. A.K.A Mawio.
 
WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS FROM NOW?

Kijana acha dharau na kufuru. Mungu tu ndiye anayejua utakuwepo sekunde ijayo. Kila mtu anastahili heshima, hakuna 'no body'! Kama unataka kuwa kiongozi bora lazima ujue kuheshimu watu wote na uwe na utu. Usijianike hadharani hivyo!
 
Unakuwa agenda na kutajwa kila siku kwa kuwa Akili yako ipo mbele kulingana na cheo chako.hebu pima akili yako mwenyewe kama upo timamu.MBONA NAWE UMRI WAKO NI JIONI SANA? Ila ipo cku utajibu mbele ya sheria uhalifu unaosababisha.USHANYOA HIZO SIGN ZA UGAIDI USONI.? Aya bw Savimbi
 
Sasa umekuja kulalamikia humu Jf ili iweje nenda habari maelezo!!kwani si wote wako JF na magazeti yanasomwa na ambao awapo humu.
 
Wewe SAVIMBI wewe unahangaika nini? Bomu la Arusha Soweto ni WEWE, Bomu la kanisani Arusha ni WEWE! Uchafuzi wa hali ya hewa kupitia dini zetu pendwa Uislamu na Ukristo kumbe ulikuwa WEWE! tunakujua wewe SAVIMBI iko siku!! utajuta kutumika kama gogo la msalani!! SAVIMBI oh!!!
 
"You people" who are you? We will meet at court of law, The Law will tell who is smart and who isn't
 
Kumtaja Mungu katika uovu na madhila unayosababisha kwa watu wasio na hatia wala nafasi ya kujitetea ni kufuru iliyopitiliza. Sala na maombi mengine yanafaa kutiririshwa kwenye njia apitayo shetani.
 
Yetu macho bado tunasubiri ushahidi wa mbinguni baada ya ushahidi wa duniani kuota mbawa.
 
Obvious guilt ridden attempt!

It seems petty politics is an inherent part of your life

Kwanza kama wewe ni mwanasiasa makini na msomi unaweza kuthibitisha uhusiano wa MAWIO na CHADEMA?

Pili,Ulitajwa kuhusika kukodisha wahuni waliovuruga mkutano wa Ndago na kusababisha mauaji na ushahidi ulitolewa na polisi mahakamani.Hujataka kulizungumzia .Kama ulishiriki hilo tu ni kitu gani utashindwa kushiriki na kupanga?

Tatu,Siasa zako za kujikita kwenye personal vendatta na grudges umezithibitisha kwa maandishi yako yaliyojaa emotions na jazba dhidi ya Dr.Slaa kiasi cha kusahau kama kiongozi wa juu wa Chama tawala unaandika in public.I didnt expect this from a young chap like you.Tena msomi wa kiwango cha shahada ya uzamili?Sijui viongozi wako wa matawi na mabalozi wa nyumba kumi kumi wataweza kufanya nini cha tofauti.

Kuhusu RedBrigade imeshajibiwa na vyeti mnavyotoa huko vipo hadharani.

Usiongelee kuhusu kesi za mahakamani au matukio mengine maana kama unaamini katika utawala wa sheria ungekua mstari wa mbele kushinikiza serikali ya chama chako iunde tume ya kijaji ili ukweli wa suala la Arusha lijulikane na tume hiyo itakusafisha

Kwanza hakuna anayekupa serious attention kama unavyodhani.Labda kiwango cha attention unapewa kama wanavyopewa hawa mazungu wa unga wanaojadiliwa kwa kiasi kikubwa na tabia zao za kifedhuli so dont fool yourself.Politically you are not so relevant.

Come on Brother,Grow up!
 
Kweli nimeamini Mwigulu Nchemba, kiboko ya Chadema, kila pro-Chadema anatokwa na povu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom