Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Raia Mwema nasikia wamepigwa mkwara mzito!
Limegusa pabaya labda.
Mkuchika ni moja ya mawaziri vilaza kimatendo, anadhani yuko karne ya 19 ama 20, kweli kuelekea uchaguzi mkuu tutaona mengi.Habari ipi tena??ya Geshi?nini ?Meremeta au ?kazi imeanza!!wameitwa wakajitetea au ndio mamlaka waliyopewa kisheria!!!
uhhh....You suckCCm ni chama chenye nguvu sana kitatoka madarakani watakapo tibuana wenyewe,,loong last CCM.
Kulikoni lafungiwa! InvisibleToday, 02:28 PM
Serikali kupitia idara ya Habari Maelezo kwa mamlaka ya kisheria aliyopewa waziri imelifungia gazeti la Kulikoni kwa siku 90 kwa kuandika habari ambazo zimeligusa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania.
Zaidi tutafahamishana baadae
ahh haya bwana Peasant lakini ndo hivyo ukweli unauma, akina Dr Slaa watajijibia maswali wee kwenye hizi blog lakini bila mikakati madhubuti na kuondoa migogoro kwenye vyama watapigwa chini tu. Wachukue idea ya Kabwe ya kuunganisha nguvu upinzani ili wapate viti vingi bungeni.uhhh....You suck
Mkuu Media zetu wanatatizo moja kubwa,kuweka chumvi zaidi na chaajabu watanzania ndo wanazishabikia hizo chumvi.- Mukulu Invisible heshima sana kwa hii tangulizo, bado tunasbiri habari yenyewe ili tuchambue facts,
- Ingawa anytime serikali inaporukia vyombo vya habari huwa ni dalili zisizo njema kwa the future ya taifa on the freedom of speech!
Respect.
FMEs!
Mkuu Media zetu wanatatizo moja kubwa,kuweka chumvi zaidi na chaajabu watanzania ndo wanazishabikia hizo chumvi.
hawa jamaa watakapoongez chumvi dawa yao ni kufungiwa tu, ila kwa sasa ngoja tusubirie hiyo habari afu tuichambue tuone uhalali wa kulifungia.
ahh haya bwana Peasant lakini ndo hivyo ukweli unauma, akina Dr Slaa watajijibia maswali wee kwenye hizi blog lakini bila mikakati madhubuti na kuondoa migogoro kwenye vyama watapigwa chini tu. Wachukue idea ya Kabwe ya kuunganisha nguvu upinzani ili wapate viti vingi bungeni.
Nakubali lakini ukweli wangu utadhiirika wakati wa uchaguzi....ntaomba uhifadhi hii thread.You seem to be mentally sick
Huyu Mkuchika vipi anapiga mpaka maiti? gazeti lenyewe lilisha jifia ages ago!
Msicheze na hiki chama [CCM], mtakua kila siku mnajidanganya katika ma blog badala yakuweka mipango dhubuti.CCM kina nanguvu sana kuliko mnavyodhani.
Mwenye data kwanza atueleze hiyo habari iliyogusa jeshi inasemaje ?