Kwa mtazamo wangu hii thread ya huyu jamaa imekaa kichuki-chuki,unajua mpaka uanze kusema ooo fulani darasa la saba,oo amebakis kuwa mwakilishi wa kitongozi sababu sio mbunifu,mmhh napata mashaka nahisi kama vile una bifu na huyo jamaa,nionavyo its better mkasolve mambo yenu nje ya jukwaa hili ili msitupe faida afterall kwani mtu kuwa mpiga picha au mhariri anatakiwa awe na level gani ya elimu? Naona kama vile umemdhalilisha sana jamaa,narudia tena kama mna tofauti zenu kazimalizieni nje ya jukwaa hili na kama kuna mtu amekutuma um-ponde huyo sijui Benny Kisaka anakutumia so kuwa mwangalifu.