Gazeti la 'Jambo Leo' linavyomtetea Jairo

kama ulisoma Mwanahalisi la jana na kuona barua aliyomwandikia Bw. Luhanjo, hapana shaka juu ya hilo!
 
Mhariri anafuata maelekezo ya mmliki Ridhiwani Kikwete ambaye hakika anatekeleze anachoambiwa na Mwenyekiti wa CCM ,Mh,Dr Jakaya Mrisho Kikwete kutokea South Africa
 
kwanini mna assume kila mtu amesoma hayo magazeti? hii tabia inakera kweli ya kutokuja na habari kamili
 
Ndugu wana jamvi napenda kufahamu mmliki wa gazeti la Jambo Leo kwa sababu zifuatazo

1. Wako mstari wa mbele kutangaza ushoga na udini
2. Kuuponda upinzani na kusifia ccm
3. nk
 
Back
Top Bottom