Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

IMG_0490.JPG
IMG_0493.JPG
 
- Majungu ya walishindwa maisha ya bongo, kila mali ya bongo ni ya Ridhiwani nimeeenda Tanga nimeambiwa kila mali pale mjini ni ya Ridhiwani, hapa mjini kila mali kubwa ni ya Ridhiwani, poleni sana people fanyeni kazi kwa bidiii na nyinyin muwe na mali kuliko kukaa kuzushia watu majungu tena ya kitoto kama haya!!

- People fanyeni kazi punguzeni haya majungu mnaharibu majina ya watu bila sababu, haya ni simply majungu at best!!, kama ni majina ya wauza unga yanajulikana sana tena wengine ni viongozi wa huko Upinzani, wala sio siri hii ishu kuna siku itakuja kuwapasukia na facts mtashangaa sana hapa, wacheni kzushia watu maneno ya uongo, Ridhiwani hana hizo mali mnazosema amewapa nafasi mara nyingi ya kuonyesha evidence hamjawahi kuonyesha zaidi tu ya majungu, sasa mali yote waliyonayo Pinto na Ridhiwani bado tena wapo kwenye unga? Simply Childish!!

Le Mutuz
Mheshimiwa najua uko kwenye mkakati wa kurudisha nyumbani jimbo la mtera. Je? kama ukifanikiwa utakuwa tayari kusaidia taifa kwa kuwaanika ama kusaidia jitihada za kuwaanika hawa wauza unga?

Naona unautafuta ukuu wa wilaya ,kwa kutetea wauza madawa ya kulevya!Nani asiyejua nyie watoto wa viongozi wa CCM kazi yenu ni kuteteana ili muendelee kuharibu na kutawala nchi yetu?Watu walisema Azzan anauza madawa ya kulevya kitaaaaambo,leo hii mambo hadharani!!You just wait,there is something big coming!!WAIT AND SEE!!
 
Pasco

wacha kutuzuga tunajua unajua ukweli ya kilichompeleka uingereza na alipotokea na ni dili gani kubwa alilopiga huko
tanzania+tourism+2.JPG
Mtu ukiondoka bongo kwenda kuishi ughaibuni, ukipiga dili yoyote huko ughaibuni, hata kama ni tenda ya kutoka Bongo, reference yetu Bongo ni kuwa hiyo dili umepiga huko!. Mimi sizugi chochote!, the issue at hand ni mmiliki wa Jambo Leo ni nani na sio alipiga dili gani?.

Honestly we should be proud of him kuwa hiyo dili imepigwa na mbogo na proceeds amewekeza home Bongo!.
Pasco.
 
- Majungu ya walishindwa maisha ya bongo, kila mali ya bongo ni ya Ridhiwani nimeeenda Tanga nimeambiwa kila mali pale mjini ni ya Ridhiwani, hapa mjini kila mali kubwa ni ya Ridhiwani, poleni sana people fanyeni kazi kwa bidiii na nyinyin muwe na mali kuliko kukaa kuzushia watu majungu tena ya kitoto kama haya!!

- People fanyeni kazi punguzeni haya majungu mnaharibu majina ya watu bila sababu, haya ni simply majungu at best!!, kama ni majina ya wauza unga yanajulikana sana tena wengine ni viongozi wa huko Upinzani, wala sio siri hii ishu kuna siku itakuja kuwapasukia na facts mtashangaa sana hapa, wacheni kzushia watu maneno ya uongo, Ridhiwani hana hizo mali mnazosema amewapa nafasi mara nyingi ya kuonyesha evidence hamjawahi kuonyesha zaidi tu ya majungu, sasa mali yote waliyonayo Pinto na Ridhiwani bado tena wapo kwenye unga? Simply Childish!!

Le Mutuz

Sikuwahi kufikiri kuwa Wagogo ni wajinga kiasi hiki...
 
Mheshimiwa najua uko kwenye mkakati wa kurudisha nyumbani jimbo la mtera. Je? kama ukifanikiwa utakuwa tayari kusaidia taifa kwa kuwaanika ama kusaidia jitihada za kuwaanika hawa wauza unga?

- Umasikini wa akili ni kuamini kwamba Ubunge ndio kila kitu na ndio njia pekee ya kutokea bongo, wauza unga hamuwajui mngekuwa mnawajua msingeropoka ropoka na majina ya watu wanaojitafutia riziki zao kila siku ya Mungu kwa kufanya kazi kwa nguvu sana, maisha yamewashinda rudini vijijini sio kuzushia watu maneno ya umbea hapa mujini!1

Le Mutuz
 
Naona unautafuta ukuu wa wilaya ,kwa kutetea wauza madawa ya kulevya!Nani asiyejua nyie watoto wa viongozi wa CCM kazi yenu ni kuteteana ili muendelee kuharibu na kutawala nchi yetu?Watu walisema Azzan anauza madawa ya kulevya kitaaaaambo,leo hii mambo hadharani!!You just wait,there is something big coming!!WAIT AND SEE!!

- Nakuhakikishia kwamba siku majina ya wauza unga wa kweli hapa mjini yatakapotajwa hutaruida tena hayo maneno yako, mimi nimefungwa jela nje ya nchi nikiandika barua na kusema unauza unga just like that unakuwa muuza unga wa kweli? And yet unajiita a great thinker? Mnatia kinyaa sana, Ridhiwani anatakiwa kuwa anamiliki kila mali kubwa hapa bongo, anatakiwa kuwa alikamatwa China na unga, anatakiwa kuwa mmiliki wa mali zote za Manji, pia ni mmiliki wa mali zote za Delina, na pia mmiliki wa mali zote za Jambo Concepts, na pia mmiliki wa makampuni yote ya gesi ya Mtwara, na sasa pia anauza unga, juzi nilikuwa Mbeya nako nikaambiwa anamiliki mali zote kubwa pale Mbeya, please!!

- Rdhiwani anatakiwa kuwa ndiye mmiliki wa mali zote za Delina, Mkurugenzi wa Delina anaendesha gari la Shillingi Billioni moja na nusu na huku mmiliki wake Rdhiwani anaendesha gari la Shillingi Millioni 20, lakini in the end kuna siku Ridhiwani atachukua mali zake zote za Delina na kumuacha Mkurugenzi wa Delina hana kitu kama alivyo, maana mali zake zote ni za Ridhiwani, kweli a great thinker unaweza kuongozwa na this very childish theories, badala ya kufanya kazi unabakia kulia lia waliokuzidi wanauza unga, hamna unga hapa fanya kazi!!

Le Mutuz
 
Hili sina tatizo nalo chama tutete kidogo kwenye hii;
nitakuita pembeni.

Mamndenyi
Kuna ubaya gani Riidhiwani akawa mwekezaji tena ndani ya nchi yake huoni kama kuna watanzania kadhaa wamepata ajira? Au nyie makamanda hamtaki akawa mwekezaji kama Mbowe?
 
Last edited by a moderator:
Naona unautafuta ukuu wa wilaya ,kwa kutetea wauza madawa ya kulevya!Nani asiyejua nyie watoto wa viongozi wa CCM kazi yenu ni kuteteana ili muendelee kuharibu na kutawala nchi yetu?Watu walisema Azzan anauza madawa ya kulevya kitaaaaambo,leo hii mambo hadharani!!You just wait,there is something big coming!!WAIT AND SEE!!

-Msema njia ni lazima awe aliipitia, so wewe kumbe umepewa huo Ukuu wako wa Wilaya na Chadema kwa kuwasingizia watu kuwa ni wauza unga huku huna ushahidi? So unadhani wote ni lazima tukubali majungu yako ndio tupate ukuu wa Wilaya kama wako? Childish!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz, hebu tupe hizo kazi unazozisema ili na sisi wengine tulio vijiweni tupate japo kamkate cha siku.
 
Pole na kifungo kwanza;
Ritz anaweza akawa wakala kwenye haya makampuni ya ndani kutokana na ukubwa wa jina na uaminifu kwenye biashara;

- Nakuhakikishia kwamba siku majina ya wauza unga wa kweli hapa mjini yatakapotajwa hutaruida tena hayo maneno yako, mimi nimefungwa jela nje ya nchi nikiandika barua na kusema unauza unga just like that unakuwa muuza unga wa kweli? And yet unajiita a great thinker? Mnatia kinyaa sana, Ridhiwani anatakiwa kuwa anamiliki kila mali kubwa hapa bongo, anatakiwa kuwa alikamatwa China na unga, anatakiwa kuwa mmiliki wa mali zote za Manji, pia ni mmiliki wa mali zote za Delina, na pia mmiliki wa mali zote za Jambo Concepts, na pia mmiliki wa makampuni yote ya gesi ya Mtwara, na sasa pia anauza unga, juzi nilikuwa Mbeya nako nikaambiwa anamiliki mali zote kubwa pale Mbeya, please!!

- Rdhiwani anatakiwa kuwa ndiye mmiliki wa mali zote za Delina, Mkurugenzi wa Delina anaendesha gari la Shillingi Billioni moja na nusu na huku mmiliki wake Rdhiwani anaendesha gari la Shillingi Millioni 20, lakini in the end kuna siku Ridhiwani atachukua mali zake zote za Delina na kumuacha Mkurugenzi wa Delina hana kitu kama alivyo, maana mali zake zote ni za Ridhiwani, kweli a great thinker unaweza kuongozwa na this very childish theories, badala ya kufanya kazi unabakia kulia lia waliokuzidi wanauza unga, hamna unga hapa fanya kazi!!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi kufikiri kuwa Wagogo ni wajinga kiasi hiki...

- Great Thinker, so kabila lako mna akili sana kwa kuja hapa na kuanza kuwasingizia watu waliowazidi akili kimaisha, ndio maana kabila lako lina akili sana is that your point? So unataka na mimi nijiunge na kabila lako kuja hapa na kuzana kusingizia watu uongo na majungu ndio nitakuwa na akili kama kabila lako? is that so? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Le Mutuz, hebu tupe hizo kazi unazozisema ili na sisi wengine tulio vijiweni tupate japo kamkate cha siku.

- Hakuna kazi itakufuata kijiweni mkuu kazana kutafuta kazi, watu wanahangaika na maisha hapa mjini sasa kwa sababu wewe unahangaika na maisha kijiweni basi wale wasiohangaika kama wewe ni wauza unga?

Le Mutuz
 
Pole na kifungo kwanza;
Ritz anaweza akawa wakala kwenye haya makampuni ya ndani kutokana na ukubwa wa jina na uaminifu kwenye biashara;

- Pole sana na kufuatilia habari zangu, I am just fine by the way hivi unajua kwamba Ridhiwani ni Mwanasheria, sasa vipi hawa Wanasheria wote wanaotanua hapa mjini ni watoto wa Rais wanaouza unga? au na wao ni mawakala kama unaowasema?

Le Mutuz
 
Mtu ukiondoka bongo kwenda kuishi ughaibuni, ukipiga dili yoyote huko ughaibuni, hata kama ni tenda ya kutoka Bongo, reference yetu Bongo ni kuwa hiyo dili umepiga huko!. Mimi sizugi chochote!, the issue at hand ni mmiliki wa Jambo Leo ni nani na sio alipiga dili gani?.

Honestly we should be proud of him kuwa hiyo dili imepigwa na mbogo na proceeds amewekeza home Bongo!.
Pasco.

- Salute kumbe humu bado wapo watu walio sober sio kila mtu ni mlevi mlevi wa bangi!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom