Gazeti la habari leo linapotosha umma

jaman wanafunzi wa ccm vyuo ni wahuni tu kwan wanaufisadi kama ule wa ccm kwa mfano chuo kikuu DSM yupo waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi huyu jamaa ni mwizi kulikua na student galla huyu jamaa alifisadi pesa nying,kuna kodi ya steshenary hapa chuon huyu jamaa anakula tu wala hajal,mradi wa mashato haka kajmaa kanakula pesa za wanaDARUSO na hukuna wakumchukilia hatua kwani hata upeleke utawala hawez kumsimamia.utawala wenyewe washapigwa changa na huyu bwana.yan vijana wa ccm wanaanza wiz toka wakiwa wadogo.
 
chadema imewafanya mmekuwa wajinga na wanafiki wakubwa kazi kuandika ujinga tu siwapendi nyinyi!!!!!!!!!!!
 
Naweza kukubali maoni ya wadau, mchana nilikutana na mmoja wa wanafunzi wa UD ambaye pi ni mkuu wa chama, amedai hakubariki maandamano yao
 
Back
Top Bottom