kuthumiwa haule
Member
- Dec 27, 2010
- 23
- 0
Kutokana na mwenendo wa gazeti hili kuna kila dalili za gazeti hili la kiislam kufutwa au kufungiwa kwani limeonyesha dhahiri bila ya uficho kuwa na mwelekeo wa kichochezi , mwelekeo wenye kuamsha na kujenga hisia kali za kidini hasa kwa waislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa ni watu wenye kuaminika na jamii yote ya watanzania .