Gazeti Habari leo lina mpya kuhusu kifo cha Mwandishi

Nilkuwa napataka hapo kwenye NYEKUNDU na BLUU ili muone contadictions zilizopo. Ukweli uko wapi?.

Angalia hii picha vizuri utaona huo mlipuko ulitokea wapi....huyo aliyeinua mkono na fimbo juu ndio askari aliyejeruhiwa ambaye alijitahidi sana kuwaelekeza wenziye waSimdhuru Mwangosi kwa kuwa anamfahamu....ukiangalia kwa makini utaona Mwangosi kashikilia kiuno cha afande kujihami huku huyo dogo kushoto akimlipua

criminalpolicejpg-2204293_p9.jpg
 
Angalia hii picha vizuri utaona huo mlipuko ulitokea wapi....huyo aliyeinua mkono na fimbo juu ndio askari aliyejeruhiwa ambaye alijitahidi sana kuwaelekeza wenziye waSimdhuru Mwangosi kwa kuwa anamfahamu....ukiangalia kwa makini utaona Mwangosi kashikilia kiuno cha afande kujihami huku huyo dogo kushoto akimlipua

criminalpolicejpg-2204293_p9.jpg
[/QUOTE

na hapo ndipo Habari Leo wanapotakiwa waelewe kuwa huwezi kuwapumbaza watu wote kwa wakati wote, To Hell with their stupid story!
 
Je huyu mwandishi anamaanisha kuna dalili kwamba wananchi wameamua kutembea na grenades kwenye mikutano ili wawalipue maaskari? Bado nina mashaka na ukweli wa hili!
Mwana Mpotevu...hiyo taarifa gazetini ina hatimiliki, huwezi kuikopi ndio maana mtoa thread kaweka tu link..!
 
================================================================================================================
BOFYA HAPA: Mwandishi afa katika mkutano wa Chadema
===================================================================================================================


Gazeti Habari Leo linalomilikiwa na Serikali ya CCM limekuja na mpya kuhusu chanzo cha kifo cha Mwandishi wa Habari.

Bofya hapo juu uone kilichosemwa na Gazeti hili kwa kunukuu Jeshi la Polisi Makao Makuu.

Je, kama majibu ndio haya kuna umuhimu wa kuunda tume tena???



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mwandyosya, mwakyembe, Ulimboka, mwangosi, kwanini ni wenyewe au kusimamia haki kwa wote ni kosa?
 
Hv chadema hamchoki kuua

Wamekutuma pandikizi wewe. Nawe siku moja utaionza mauti na hujui kwa kupitia njia gani!! Imagine ukidondoka kwenye ndege halafu ukaungua into ashes!!! Au ukapata ajali ya meli au chombo cha majini kingine na ukaishiwa kuliwa na samaki!!! Usicheke au kudharau wakunga na uzazi ungalipo!! Hongera sana
 
Hata wakichakachua yuko ambaye hadanganyiki huyo siku ya mwisho atawahukumu na nia zao ovu.
 
Hawa wandishi wa hivi wanawaona wa TZ ni mambumbu bado.lol!
Tutafika tu.
 
Hadithi zingine bana cjui!

amejitahidi lakini kusimulia in and out ili tu kujaribu kuwatoa watz kwenye track ya kuujua ukweli wa tukio zima..MUNGU amlaze mahali pema na awaadhibu wale wote waliohusika na mauaji haya ya kinyama
 
Sasa wajama,hivi huyo mwandishi katika hali kama hiyo ya askari kutupa mabomu nini tena kilimtuma amfuate afande.
-(a)alitaka kufanya naye mahojiano.
-(b)alikua anawaomba change.
-(c)alikua anajaribu kumwokoa mwandishi mwenzake toka mikononi mwa polisi. -(d)alikuwa anataka kupambana na polisi ili kuwashikiniza wasizuie mkutano wa chadema.
Hivi waandishi kazi yao pale ilikua ni kukacover matukio,ama kushiriki kama wanaharakati wa CDM?.
 
hABARI LEO ENDELEENI KUPOTOSHA WATU,HAMJAJIFUNZA KUTOKA KWA MTUMISHI WENU MLEMAVU AMBAYE LEO ANAKWENDA KUOMBEWA PESA NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI NANYI MPO HAPO HAPO NA SERIKALIN YENU!
 
Back
Top Bottom