Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Kuna baadhi ya waislamu wana mtindio wa ubongo. Wao wanadhani ni waislamu zaidi ya wale wa Saudia au Iran. Yaani mfano wakienda Saudia wala hawawezi tambulika kama waislamu. Wawaulize wenzao wanaoishi Iraq. Ni ujinga mtupu hii dini upande wa Africa. Waafrika ni weusi na dini ya kiislamu waliipokea kama nyeusi,
Kafiri hachagui maneno bana, aliewachongea kinyago akawaambia ni Mungu alijua upeo wa akili zenu !
 
usiwatupie watu lawama wakati nyinyi ndiyo mlioshiriki kikamilifu kuirudisha ccm na serikali yake madarakani 2010 kwa sababu rais ni kikwete/muislam...

Kumbe kabla ya Kikwete kuwa Rais Tanzani ilikuwa nchi tajiri...hivi ile mikataba ya Migodi, Buzwagi na Nyamongo, Bandari, Geita, si wamefanya wasomi wa Kikiristo au?
 
mkuu naona upo uhamishoni bara.ngoja nasi 2anze kuwatimua.kagazeti hako na radio iman ingekuwa wakristo wangeshapigwa ban.

Acha ubaguzi ndugu yangu.

Yanayotokea zanzibar yalipangwa na hao hao watu wenyewe. na ndio maana unaona mabarozi wa US,UK,Canada etc wameenda kwenye mkutano.

Kuna kitu kimetengenezwa hapo, Si uamsho wala waislam waliochoma moto makanisa ni SERIKALI YENYEWE.
 
Huu ndio kweli wasomi wa Tanzania ni sawa sawa na Punda aliebeba mizigo ya vitabu...

Sehemu yoyote kwenye wasomi lazima athari zionekane.

Athari za Wasomi wa Tanzania ni Ufisadi.
 
mi huwa mdini sana kwenye swala lolote la kupinga dini ya mnyaazi mungu uwa naunga mkono..
so napita tuu hapa nsije kupigwa ban na mods
 
Kuna baadhi ya waislamu wana mtindio wa ubongo. Wao wanadhani ni waislamu zaidi ya wale wa Saudia au Iran. Yaani mfano wakienda Saudia wala hawawezi tambulika kama waislamu. Wawaulize wenzao wanaoishi Iraq. Ni ujinga mtupu hii dini upande wa Africa. Waafrika ni weusi na dini ya kiislamu waliipokea kama nyeusi,

Acha katukana dini za watu,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Ni bora kila mtu kuheshimu imani ya mwenzake ndio uvumilivu tatizo humu JF kuna members huwa wanaona imani zao ndio bora zaidi kumbe ni mtizamo dhaifu kabisa, nadhani imefika wakati kuondoka kwenye hii thread ambayo haina tija yoyote kwa taifa zaidi ya chuki.
 
Huu ndio kweli wasomi wa Tanzania ni sawa sawa na Punda aliebeba mizigo ya vitabu...

Sehemu yoyote kwenye wasomi lazima athari zionekane.

Athari za Wasomi wa Tanzania ni Ufisadi.

Bila shaka ufisadi mnaoufanya wasomi nyinyi hakuna mfanowe. Halafu kumbr na fitna za kidini zinafadhiliwa na "wakubwa"?
 
Mjadala huu unathibitisha kweli kuwa Tanznia kuna UDINI, wakristo wametanguliza ukristo kwanza ndio unafuata utanzania, na waislamu wametanguliza uislamu kwanza ndio unafuata utanzania, ....kwa style hii mimi binafsi simlaumu Mzee Mtei kuhusu suala la tume ya katiba kuhofia waislam wengi....na vilevile sililaumu Gazeti la Ann-ur kuhofia wakristo kuwa wengi wizara ya elimu na kuhusisha kuwa ni chanzo cha matokeo kuwa chini ktk shule za kiislamu.

KIMSINGI TANZANIA KUNA UDINI, NA TATIZO HILI HALITATULIWI KWA KUSEMA KUWA HALIPO!!


 
kimsingi usalama wa nchi uko hatarini,hasa kwa watu wachache(waislamu) kupotosha uma na kuchochea machafuko nchini,kwa kutoa lawama kua wanaonewa na wakristo.Hiyo radio, imani na hilo gazeti bila shaka mmiliki wake ni mmoja.ukifuatilia vizuri radio imani,utabaini kua baadhi ya vipindi vyao ni vya kiuchochezi,(udini) hoja za wachangiaji wengi huwa ni pumba tupu,na mbaya zaidi wengine ni lecturers kutoka baadhi ya vyuo vikuu.hakika serikari imeshindwa kusimamia suala la usalama wa nchi,siyo kwamba haijui nini kinaendelea-inajua sana.binafsi kwa lolote litakalo tokea serikali itakua imehusika kwa 100%.suala la kujiuliza mbona kuna radio nyingi za kikiristo na za kilokole,vipindi vyao hakuna hata kimoja kinacho watukana waisilmu,wala haata wachangiaji wake katk vpindi hivyo kudhubutu kuongea mabaya yoyote kuhusu waisilamu?binafsi huwa inakela sana radio imani-morogoro.
 
Viziwi ,mabubu,vipofu na wala hawataiona njia ya kweli kamwe wameizamisha nchi kwenye tope la umasikini,ufisadi na ubaguzi kwa wanaoabudu mungu mmoja asiena mtoto wala mjukuu. Kazi yao ulevi tu na kucheza eti ibada nani kawaambia mungu anakula mkate wa kuchoma hahaha
 
Bora ifutwe sababu wengi humu wameanza kuchambua vyeo vya watu kwa dini zao,huu udini utaviabgamiza vizazi vyetu.

Sijawah kuona watu wanafki kama baadhi ya WAKRISTO watanzania....yaani udini mnautengeneza wenyewe alafu mwashangaa matokeo yake? AL noor ni matokeo ya madhila dhid ya waislam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom