Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Israel wanafanya vitendo vya kinya, Hawa activits wanapeleka misaada ya chakula kuwasaidia inocent people, haihusiani kabisa na Hamasa wala any sort of politics.
Under international law, Israel hana right ya ku block vyakula au misaada inayomsaidia mwana nchi wa kawaida, afterall Israel amevamia nchi ya palestina by any difinition
At this time dunia nzima inalaumu msireli, JF kuna vilaza wanajaribu ku justfy killing na kusherehekea vifo vya watu wasiohusika na upande wowote zaidi ya kuwasaidia wenyeshida, tujaribu kutumia vichwa vyetu badala ya kuendeshwa na chuki za kijinga.
international law hiyohiyo inatambua blockade...si kwamba israel wanazuia kabisa kuingia misaada gaza, israel wameweka utaratibu halisi ambao meli yoyote inayopeleka vitu gaza inatakiwa kufuata huo utaratibu, kwa kukaguliwa etc, kuna baadhi ya bidhaa zinaingizwa for the purpose ya kuwa material ya kutengeneza mabom na rocket kule gaza, chemicals baadhi pia zimezuiliwa...sasa wapalestina wameona lengo lao la kuendeleza underground movement ya death to israel inakwamishwa, ndo maana wanachukulia kisingizio cha humanitarian aid....hiyo haijaanza leo kwa taarifa yako, .....
israel hajavamia nchi ya palestina, palestina sio nchi, hakuna nchi katika historia yoyote utakayosoma inaitwa palestina, waarabu ndo walivamia nchi ya waislrael wakati wayahudi wamechukuliwa utumwani. kama ukitekwa nyara na jambazi/gaidi nyuma mtu akachukua nyumba yako, ukiachiwa ni halali yako kuichukua ile nyumba yako na hakuna mtu atasema ile nyumba ni ya yule aliyeingia wakati wewe uko matekani...atakuwa hana akili nzuri....ile nchi kuna evidence zote ni ya waisrael na hakuna wa kubadili ukweli huu.