gari zinauzwa bei nafuu wahi sasa!!!!!!!!

kingkongIII huyo jamaa kutokana na utoaji wake wa tangazo inaonyesha si mtaalamu wa maswala ya magari kiivyo,kwa hayo magari uliomtajia nina uhakika kuwa hana ila atajifanya anazijua hizo bei baada kuingia kwenye net na atakupa hizo bei soon,ngoja tusubiri kidogo uone.

Da basi bwana deo atakua ajatulia!!
 
Mswahili akikuambia gari mpya anamaanisha reconditioned from japani yenye km 100,000 hivi. Unajua zile car perfumes za upya?

Kiukweli gari za japan iliyotembea km150,000 na wakaifanyia maintance nzuri na kuileta bongo inaonekana kama brand new kabisa!!
 
Back
Top Bottom