Gari za viongozi zenye usajili stk/su/pt n.k.

MKWELIMAN

Senior Member
Nov 24, 2008
126
21

naomba kuuliza members wenzangu kuwa hizi gari za viongozi zenye usajili stk/su/pt n.k. Zinaweza kuendeshwa na wototo wa hao wliokabidhiwa wagogo wa serikali???? Maana navyoelewa kuwa hizo gari ni kwa ajili ya kazi za kiofisi.........
 
Back
Top Bottom