Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara

nguvu ya umma ipo wapi wewe? Nguvu ya umma na wabunge 23...

Hizo gari 6 ni chambo tu jitokezeni muone mizigo yenyewe imepaki lugalo inasubiri amri tu..

Ndio mtajua nidhamu ya jeshi la polisi tanzania ni kubwa kiasi gani
umeuona waraka wa wale wa lugalo?
 
ngoja niwah kabisa eneo la tukio, maana hawa polisi wamechosha kabisa, itabid tuwakodishie al-shabaab
 
Serikali ya mabavu ya CCM ina uwezo wa kununua vifaa vya kisasa vya kuumiza watu,lakini inashindwa kununua vifaa vya kuokoa maisha ya watu yanapotokea maafa kama vile ajali ya meli iliyotokea hivi majuzi. Kweli nimeamini CCM ni Chama Cha Mashetani,kazi ya shetani ni kuiba ,kuua na kuharibu.
 
HAKIKA umenena vema
 
hivi kwa akili yako unadhani polisi wote ni form 4? Am young and energetic and a graduate frm a respected university with a CPA..nina cheo na maisha safi na mshahara wangu ni mkubwa,fanyeni maandamano 2NAWANYUKA.
Nyambaaaf wewe..k...ma mkubwa...kuna Polisi yeyote mwenye mshahara mkubwa Tanzania...Vijitu vilivyozoea dhiki utavijua tu....we unashindiliwa chenji za kunywa maji eti unabinua midomo "ninamshahara mkubwa"Nyambaaaf kaa kimya...NIPO ENEO LA TUKIO HAPA KIMARA....NA NINA CASH....Damn.
 
Watu munaongea tu kwny jf mkiwa juu ya vitanda mukinywa juice nendeni kimara mkapambane na mafidifosi
 
Nyambaaaf wewe..k...ma mkubwa...kuna Polisi yeyote mwenye mshahara mkubwa Tanzania...Vijitu vilivyozoea dhiki utavijua tu....we unashindiliwa chenji za kunywa maji eti unabinua midomo "ninamshahara mkubwa"Nyambaaaf kaa kimya...NIPO ENEO LA TUKIO HAPA KIMARA....NA NINA CASH....Damn.

we una Cash? Lete mdogo nikupige na kitako cha...! Una2jua utashndwa kutembea.
 
What does a fish know about the water in which it swims all its life?

The people who arranged for this demostration are Tanzanians who want to use their contitutional wright. The Goverment who sent the FFU want to stop Democracy in action. Now let us see who is going to win. The oppressive government or Democracy.

Mkuu binafsi sina hata diploma ila nadhani ni RIGHT na si Wright
 
Nguvu ya umma ipo wapi wewe? nguvu ya umma na wabunge 23...

Hizo gari 6 ni chambo tu jitokezeni muone mizigo yenyewe imepaki Lugalo inasubiri amri tu..

Ndio mtajua nidhamu ya Jeshi la polisi Tanzania ni kubwa kiasi gani

Huwa najizuia sana kukujibu lakini nashindwa, unachefua wewe!
 
hivi maandamano mengine yakianzia Kunduchi, Mbagala, Gongolamboto, Kinyerezi, Kigamboni,....Hiyo sio njia sahihi ya kutatua tatizo!
 
hivi kwa akili yako unadhani polisi wote ni form 4? Am young and energetic and a graduate frm a respected university with a CPA..nina cheo na maisha safi na mshahara wangu ni mkubwa,fanyeni maandamano 2NAWANYUKA.

Mkuu acha kutokwa mapovu kinywani!! Inanipa mashaka na elimu yako uliyo nayo, natumaini wewe ni kiongozi kwenye kampuni yenu. Hautmtegemei kingozi kuwa kama wewe!!!

Ukilleta swala la mshahara kwenye kampuni tunajua huna mshahara wa TZs 8million, as such uko kwenye ma-grade ya kawaida tu, sema rushwa na ukandamizaji ndo vinakupa ka-kiburi hako!! Ukitaka uone kweli umesoma toka tukutane huku kwenye provisional firms ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu. Lakni najua huwezi, umesoma lakini umedumaa na vi-rushwa vyenu!!

Mimi nilitegemea kwa uongozi wako, ungekuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko kwenye kampuni yenu ukianzia katika fikra za askari wenu!!!
Kwa njisnsi unavjotokwa mapovu, no wonder!! Nyukeni tu watu, mwisho wake tutakuja kuwabamba!!!
 
Hahaha si muandamane tu nimeingiza pop zangu halafu soko hafifu jamani fanyeni haraka mkapigwe mimi nifanye biashara kufa kufaana
 
Mtu kama huna kazi utahangaika kuitafuta mpaka uipate sasa wenzetu ndio wameshaipata,mi huwa najiuliza hivi wana maisha gani kiasi kwamba kila siku wanatekeleza order hata kama wanajua wanaumia?afadhali mi hyo kazi cwezi tena mimi ukinipa order ndio kabisaa umetibua

watakuwa hawalishwi kama wewe!
 
Back
Top Bottom