Gari yenye namba ya Zanzibar naweza kuitumia Tz bara

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,906
3,249
Salam wandugu,
Nilikuwa zanzibar kwa mapumziko mafupi, nimepata gari ambayo imesajiliwa hapa ZNZ sasa nataka mwenye ufahamu juu ya suala hili, je nikivuka nayo huko bara nitaweza kuitumia au ndio hadi nilipe tena ushuru na kubadisha namba
 
Pale chini ya gari uwe unatembea na chenji kama 30,000/= kwa ajili ya trafic na tiGo utakuwa unawapa buku 2
 
hapana najua unaruhusiwa kuitumia ikiwa na number za zanzibar nadhani hiyo ishalalamikiwa sana kwa kuwa limeshalipiwa ushuru zanzibar huku bara walitaka isilipiwe tena kuna watu kibao najua wanatumia ila kuna fee kidogo unalipa TRA.sina hakika ni sh ngapi jaribu kumuuliza mtu wa TRA pale zanzibar atakupa mwongozo.
 
Itabidi usajili TRA upate namba mpya, vinginevyo usumbufu utakaokuwa ukipata utakukera na kukugharimu sana...hawaelewi somo,na ndo utajua bara na zbr ni nchi moja au 2 tofauti
 
Unaweza kulitumia bila wasi wasi wote na ukakata nalo mitaa yote bila bughuza zozote ili mradi tu ufate sheria.

Kwanza lisajili hilo gari huko Zanzibar ili lipate namba mpya zinazoanzia na Z xxx YY. kisha litapata police clearance na kulileta Bara na kulilipia kama gari inayotoka Kenya, Uganda au nchi yoyote ile ya kigeni.
 
gharama zake zikoje mkuu, ila kama uonevu flani, si ni nchi moja sisi sote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom