Gari yaacha njia na kuparamia kituo cha daladala- korogwe kimara DSM

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Gari ya kampuni ya masafi (fuso)
limeacha njia na kugonga abiria
waliokuwa kituo cha daladala hapa
korogwe kimara, dar es salaam. Mtu
mmoja hali yake mbaya sana, hii imetokea sasa hivi
 
Poleni sana ndugu zangu, mmoja mweingine kagongwa asubuhi na basi lilikuwa linatoka Ubungo. Ndani mle kituoni walikuwa wanatoka asubuhi mabasi ya mkoani pale yanapopaki mabasi ya Tanga
 
Duh! Hizi ajali sasa inakaribia kuwa janga kwa Watanzania! Mungu usi2sahau nyosha mkono wako wenye mamlaka!
 
Dah hivi hakuna dawa ya kupambana na hizi ajali? Je ni trafic wazembe au tatizo liko wapi?
 
Gari ya kampuni ya masafi (fuso)
limeacha njia na kugonga abiria
waliokuwa kituo cha daladala hapa
korogwe kimara, dar es salaam. Mtu
mmoja hali yake mbaya sana, hii imetokea sasa hivi

I see pole sana majeruhi
 
Dah hivi hakuna dawa ya kupambana na hizi ajali? Je ni trafic wazembe au tatizo liko wapi?

Mambo mengine muwe mnaangalia mnataka kila baada ya mita 50 kuwe na trafic?
Hapo tatizo madereva ni wazembe
 
dah jana namimi nilikuta ajali pale matumbi baada ya daraja ukitokea buguruni kuna mtu aliumia vibaya.
 
morogoro road ndio inafunga mwaka hivyoo kwa hiyo wakazi wa maeneo hayo tafadhali msijiachia kiivo itakula kwenu..

Poleni wote mliopatwa na ajali..
 
Dah! ngoja nimalize kupima asee.......nitalleta picha! hiki kituo cha korogwe tumeshawashauri hawa jama wa tanroad wakiondoe, kinaparamiwa sana na malori.
 
Magari Mabovu, Madereva Feki, Traffic Police wazembe, Umasikini, na Wavuta bangi wanaondesha Bajaji na Bodaboda watatumaliza kabla ya kusherehekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka!
 
Back
Top Bottom