Gari ya tani 3 hadi 5 ya kukodishwa kwa mwezi inahitajika!!!!

Marketer

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
261
55
Kampuni mpya jijini dar inahitaji kukodi gari la kusambazia bidhaa lenye ukubwa wa tani 3 hadi 5 kwa muda na malipo ya mwezi bila ubabaishaji!!!

Liwe kwenye hali nzuri (SIO CHAKAVU) na lenye BODI YA KUFUNIKA AU KUZUNGUKWA NA MACHUMA.

Mafuta, Dereva na service ni juu ya kampuni.

Uwe mwenye gari na upo serious na biashara. (dalali hatakiwi)

Ni PM bei yako ya mwisho kwa wiki na mwezi, aina ya gari, mzigo inayoweza kubeba. PM BEI YA MWISHO UNAYOTAKA, HAINA MAELEWNO, ANAETENDA BEI REASONABLE NDO ATAKAE JIPATIA TENDA!

Mwisho wa KU PM NI JUMATANO 17/10/2012

Shukrani!
 
Back
Top Bottom