Gari ya polisi yaanguka na kuua askari.

Saaafi sana dam za wamachinga zinawatafuna .

Wamezoea sana kutupiga mabom ya machozi,maji ya kuwasha na risasi za moto bola kapungua.
 
Wadau nusu saa iliyopita hapa tunduru gari ya polisi ambayo ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi ya ajabu imepinduka na kuua askari mmoja wa kike anaetambulika kwa jina la mere{marry}kutoka ktk idara ya upelelezi (c.i.d)

Bora wangekufa wote. Samahani lakini kwa ndugu
 
Back
Top Bottom