Gari ya Dhahabu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<hr style="color: rgb(227, 223, 181); background-color: rgb(227, 223, 181);" size="1"> <!-- / icon and title --> <!-- message -->
Gari ya Dhahabu
iraqup.com_20090221_36Nge-0QkV_151597313.jpg

Mercedes ya Dhahabu ya mwananchi mmoja wa Abudhabi


Nawaachia picha ya gari hii ili mpate kuona wenyewe!!!


iraqup.com_20090221_u8WFW-6dk8_523339781.jpg

iraqup.com_20090221_78bqM-V8Wg_804179359.jpg

iraqup.com_20090221_H726y-MeeS_725711226.jpg

iraqup.com_20090221_r2X1u-Y1Vh_628032007.jpg

Swali je watu wataicha ikisimama nje kwenye parking ?

Nawaachia jawabu wenyewe.
 
kwa wenzetu nchi za kiarabu hio sio ajabu magari kama hayo yapo mengi tuajabu ni huku kwetu tu,nahuyo mwizi atakae liiba atalipeleka wapi,huna wakumuuzia na utalipitisha border ipi,wenzetu wana security ya hali ya juu inngekua bongo unaliiba kama vile unaiba embe lakini kwa wenzetu thubutu kuliiba uone utakamatwa baada ya dakika 5 tu.
 
Back
Top Bottom