Gari T 500 BSB imeanguka bamaga

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
ilikuwa ikielekea mjini huku imepakia magunia ya mkaa. sijajua chanzo ni nini lakini inasababisha foleni kwa magari yanayotoka mwenge kwenda mjini na yale yatokayo mjini. askali wa barabarani washafika na fisi wa mizoga washafika kuanza utaratibu wa kuinua sababu imeanguka barabarani usawa wa startimes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom