Gari owners# Tairi na alarm

Dansel

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
249
59
Natangaliza shukurani kwanza. Nini kifanyike kuhakikisha tairi la gari lako haliwezi kuibiwa na wezi, maana gharama za maitari sio mchezo. Mfumo wa Alarm unaweza saidia? Na mfumo mwingine upi?
 
hamna kifaa cha alarm kwa ajili ya tairi lako,kuna kitu kinaitwa special nutni watu wachache sana wanazo ila ukienda kwenye maduka yanayouza spare za magari genuine,hasa ya Toyota utazipata....pia kuna wheel disk lock,ambayo unafunga kwenye tairi moja,hiyo ni kama hutaki mtu asogeze gari....kwa hizo special nuts,kunakuwa na special device unayovalisha mbele ya wheel spanner ili uweze kufungua tairi upatapo pancha au ukitaka kubadilisha tairi,wezi wengi wa matairi hawana hiki kidude,na kinafungwa kwenye bolt moja tu kwenye kila tairi.zinapatikana kuanzia bei ya 2000/= na kuendelea images (1).jpg hiyo wheel disk ndo iko hivi images (2).jpg
images (3).jpg .picha zaidi ziko hapo chini.
 
Car tracking ambapo gari yako unaifunga chip yenye gps kwa hiyo linakuwa tracked anywhere. Nadhani kunamakampuni yanahusika na hilo suala sikiliza sana clouds fm
 
Mkuu nashukuru, Nilijaribu kuulizia Hizo Lock nuts lakini kwa hapa mwanza maduka mengi niliyopita hamna hii kitu. Na wachache walionazo naona bei ni ya kitapeli around 35 elfu alafu wnaniambia eti wanafunga nut tano kwa tairi moja>
 
Car tracking ambapo gari yako unaifunga chip yenye gps kwa hiyo linakuwa tracked anywhere. Nadhani kunamakampuni yanahusika na hilo suala sikiliza sana clouds fm

Hii kitu kwenye rav4 yangu. model 2001 ipo lakini sijajua namna ya kuitrack hiyo Gps nadhani kama kuna watalamu watatusaidia. Manual za gari yangu zipo katika lugha ya Kijapani,. na kuna maelezo ya hii Gps
 
nadhani huyu bwana alikuwa anauliza kuhusu matairi,u can still have a gps tracker na ukaibiwa matairi usipate alert yoyote,for the case of gps trackers,zinatofautiana specifications kutegemeana na supplier wa hiyo device.
 
Back
Top Bottom