Gari ndogo imezama Ferry ilipojaribu kupanda pantoni saa 6:35 asubuhi ya leo...

Dereva aliruka akakimbia,inasemekana kulikua na abiria mmoja lakini haijathibitika mpaka gari litolewe... cha kushangaza pale ferry ni karibu sana na Navy(askari WA majini) na bandari ambayo ina tug boats ambazo zoezi lingechukua mda mfupi ila lisaa lilipita mpaka naondoka hao wavuvi ndio wanahangaika...
 

Attachments

  • Ferry.jpg
    Ferry.jpg
    46.2 KB · Views: 1,013
Hata ikizama hiyo Pandon yote tutamsikia PM wa ccm ktk kauli hii:


LIWALO na LIWE!

Hana hata aibu!
 
"Tutaunda tume", "suala hili lipo mahakamani, hivyo si vizuri kuingilia muhimili mwingine" "liwalo na liwe" "kazi ya mungu" etc
 
Hao wavuvi walipozamia waliishia kumsachi kwanza ndio wakamwokoa also shame on them jamaa katoka mweupeeeee
 
Back
Top Bottom