Leo tarehe 01 octoba 2012, nimefrahi sanaa kuona mabadiliko ya dhati ktk taifa letu katika sekta ya usafiri jijini Dar. Juzi tuliskia majaribio ya treni kutoka maeneo ya ubungo mpaka tktt ya jiji, jana tukaskia project kubwa ya mabasi yaendayo kasi katika jiji la Dar es salam.
Leo tumeona na tunashuhudia uzinduzi wa safari mpaya za treni ambazo zitapita kandokando ya jiji mpaka kurasini.. Mwakyembe ameonyesha njia.
Hii ni picha ya treni ikiwa na abiria leo asubuhi jijini Dsm
.

Hii ni hatua ya kupongezwa!!!! Nina uhakika hii route sio ya Ubungo kwani hapa Ubungo sijaiona treni ikipita mitaa hii.
Tiba
Big up Mwakyembe
Subrir miezi sita ijayo ,mara utasikia haina watumishi wakutosha ,mara kipuli kimetumwa India hakijarudi ili mradi kila aina ya ubadhadhi train hizo zisifanye kaziLeo tarehe 01 octoba 2012, nimefrahi sanaa kuona mabadiliko ya dhati ktk taifa letu katika sekta ya usafiri jijini Dar. Juzi tuliskia majaribio ya treni kutoka maeneo ya ubungo mpaka tktt ya jiji, jana tukaskia project kubwa ya mabasi yaendayo kasi katika jiji la Dar es salam.
Leo tumeona na tunashuhudia uzinduzi wa safari mpaya za treni ambazo zitapita kandokando ya jiji mpaka kurasini.. Mwakyembe ameonyesha njia.
Hii ni picha ya treni ikiwa na abiria leo asubuhi jijini Dsm
.
why private operator? serikalini wapo wahasibu au watu wenye fani ya usafirishaji
nchi za wenzetu usafiri wa umma kama mabasi ya kasi treni na hata bot zinahudumumiwa na serikali kwa asilimia mia moja na unakuwa na ufanisi mkubwa sana
labda nlichokiona ni suala la ticketi wanaweza kuweka machine za kukatia ticketi ambazo zinajiendesha zewenyewe ili mtu ajikatie ticketi mwenyewe na kuwe na ticketi za siku nzima mfan mtu akitoa alfu anaweza kuitumia kwa siku nzima na pia siku za wekend iwe bure kwa watoto chini ya miaka 12.
vituo vya kupandia pia viboreshwe wajenga na gats za kupandia.
Do we know the price per trip? Is it possible to buy a day or a week travel card ?Msaada tutani tafadhali