Gari linauzwa: Suzuki Escudo

Tango

Member
Mar 13, 2008
58
5
Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu.

Ina usajili T991 ADQ

Mwaka: 1993

Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000.

Ipo katika hali nzuri sana na imekuwa inafanyiwa maintenance kila baada ya km 3,000 na rekodi za maintanance zipo.

Bei ni maelewano, mwenye kuihitaji apige simu au kutuma sms ataambiwa bei.

Mwenye kuihitaji awasiliane na Gigwa 0756 446 468.

Kama utasoma hii thread baada ya tarehe 10 April 2009 usipige wala kuulizia. Itakuwa ilishauzwa.

Picha:

i319_xcudo1.jpg

i320_xcudo2.jpg

i321_xcudo3.jpg

i322_xcudo4.jpg

i323_xcudoInfo.jpg
 
Picha ya Gari ikowapi Baba

Uko serious na Biashara kweli kweli wewe? unauza mbuzi kwenye Gunia au

Kuwa Serious?
 
Namba yako nayo haipatikani...tangazo limekaakaa kama la hii sikukuu yetu vile.
 
Picha ya Gari ikowapi Baba

Uko serious na Biashara kweli kweli wewe? unauza mbuzi kwenye Gunia au

Kuwa Serious?

Mimi nauza gari siuzi sura ya gari. PM me if you need pictures and if you are serious buyer. Wakati mwingine inabidi tuokoe bandwidth za JF.

Namba yako nayo haipatikani...tangazo limekaakaa kama la hii sikukuu yetu vile.

Namba nilikosea samahani. Nime ku PM namba ni 0756 446 468. Naona sikukuu ni nyingi Bongo wengine tulishafuta.

Thank you
 
Mimi nauza gari siuzi sura ya gari. PM me if you need pictures and if you are serious buyer. Wakati mwingine inabidi tuokoe bandwidth za JF.

Namba nilikosea samahani. Nime ku PM namba ni 0756 446 468. Naona sikukuu ni nyingi Bongo wengine tulishafuta.

Thank you
Huyu mtu analeta utani hapa....
 
Nanunua gari suzuki escudo milango mitatu isiwe ya zaidi ya mwaka 1993, kilometa zisizidi 150,000 iwe inafanyiwa service kila baada ya km 3,000, iwe imesajiliwa kwa namba zinazoishia na ADQ. Nipo tayari kutoa bei atakayo itaja muuzaji. serious sellers only PM.
 
Duu sio mchezo but kazi kweli kweli nadhani kungekuwa na pics wengi zaidi wangeweza kujitokeza.
 
Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu.

Ina usajili T991 ADQ

Mwaka: 1993

Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000.

Ipo katika hali nzuri sana na imekuwa inafanyiwa maintenance kila baada ya km 3,000 na rekodi za maintanance zipo.

Bei ni maelewano, mwenye kuihitaji apige simu au kutuma sms ataambiwa bei.

Mwenye kuihitaji awasiliane na Gigwa 0756 446 468.

Kama utasoma hii thread baada ya tarehe 10 April 2009 usipige wala kuulizia. Itakuwa ilishauzwa.
mkuu ni manual au automatic???
 
Ndugu,salam.
Gari unaliuza kwa maneno yakusadikika?...plse weka side view zake na other documents ku-support your commitment.
Ni vema pia ukataja mipaka ya bei ili na sisi wadau tujue mapemaaaa, e.g 4-6millions.
Stay blessed
 
Mkuu hapo sijaelewa, kama unajua itakuwa imeuzwa mpaka kufikia tarehe hiyo kwanini sasa umeweka hii thread? Inamaanisha mteja unae tayari. Weka bei watu wapate kujua ili wajiandae.
 
Hayuko seriuos au hajui biashara huyu; biashara ni pamoja na kucheka cheka bila sababu na mteja huku ukimushawishi anunue bidhaa; Mkuu anakuwa mkali utafikiri anatoa bure au hela hiyo anayoitaka ni ya kwake ameiweka mifukoni mwa watu?
 
Weka bei ya kuanzia na ya mwisho,nani atahangaika kama bei haishikiki,be serious.
 
Mkuu Tango alinitumia picha ambazo nimeziambatanisha kwenye 1st post yake. Ieleweke kwamba si kila mtu anajua namna ya kuweka picha hapa JF...

Picha:

i319_xcudo1.jpg

i320_xcudo2.jpg

i321_xcudo3.jpg

i322_xcudo4.jpg

i323_xcudoInfo.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom