Gari lazama Pharmacy

Laptani

Member
Sep 30, 2009
98
19
Alasiri ya tulishuhudia gari dogo aina ya Caldina likitoka kasi ndani ya mahakama ya Maromboso hapa mjini Arusha na kuzama ndani ya duka la dawa.
Majeruhi 2 hawakuumia sana zaidi ya majeraha ya vioo vilivyowapasukia.
 
Lilikuwa na wahalifu au?
 
Back
Top Bottom