Gari Latumbukia Baharini Dar

Mbona taarifa hizi zinatoka kama mtoa taarifa alikuwepo?Kama kweli ulikuwepo niruhusu nikuulize maswali zaidi, kama si hivo basi tufahamishe chanzo tafadhali.

ajali imetokea usiku wa saa tisa, mimi nmejua saa mbili asubuhi. unaweza ukauliza maswali yasio zidi matatu. Mia
 
ukute aliacha bila handbreak, noma sana! mkuu hata picha tu umeshindwa?
Mkuu, handbreak kwa gari ya tanzaidi ya kumi halafu ipo mizani??

sasa picha ya gari iliyozama na haionekani itasaidia nini mkuu!!! hahahahaaa!!
 
Gari nyingi sana zinazosomba ngano za SSB ni aina ya FAW (First Automobile Works) dump trucks za Mchina. Huenda mwendeshaji alikuwa haja apply hand brake ndo sababu gari ilirudi kinyumenyume! RIP konda
 
Wakiambiwa wafuate safety procedures wanaona wanasumbuliwa. Hairuhusiwi kupaki gari kwenye mzani huku inaunguruma na dereva anashuka! Na wheelchockers ndo msamiati kwao. Uzembe unatumaliza watz.

Asante kwa kutukumbusha. Si unajua watz wengi vichwa tunatumia kuwekea pombe? Hatutaki kutumia kufikiria. Yaani kazi ipo na sio ndogo.
 
Hapa sasa ndo tutaamuka kutoka usingizini na kufuata kanuni za usalama mahali pa Kazi. Pita kesho pale bandarini utakuta hadi wale waokoaji, life jackets na reflector jackets kibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom