Gari la Zitto lapata ajali?

lakini hujui humu kuna mapolisi washaanza kutoa majibu hata kabla ya maelezo ya dreva hayakutolewa ! watu washasema ccm hao !

ndio hapo ninapopata mwanya wa kusema CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ! maana ccm sasa imezidi bana kila baya litakalotokea kwa wapinzani ni wao tu ! teh teh teh teh !

Nimeshawaambia jamani dawa ya mtu huyu si kumjibu ni kumuacha aweweseke peke yake. Mnavyojibishana naye ndiyo mnampa kichwa. ukibishana na mjinga na wewe unakuwa mjinga. mpeni kubwa na tuendelee na issues
 
yaani SHALOM katika vitu ambavyo i guarantee you kwamba hautofanikiwa ni hili la kusema kwamba members wasinijibu, sipo hapa kupata majibu ya mtu yoyote bali nipo hapa kusema what i feel is right !

sasa wewe kusema kwamba watu wasinijibu, thats even not a thang to me, labda utafanikiwa pale utakapowashauri watu waniban moja kwa moja JF ndio kidogo utakuwa umefanikiwa lakini sio kusema kwamba watu wanichunie, KWANZA UNAPOSEMA WATU WANICHUNIE NINI LENGO LAKO KIJANA, KULETA CHUKI JF AU ??

katika hii forum, mbali na kupingana kwa hoja, naamini kabisa sio sehemu ya kuzalisha chuki hapa kufanya watu waliokuwa pamoja kwa kuchangia hoja kwa kipindi kirefu waje wakusikilize weye uliyekuja kudandia treni kwa mbele ('afu unajifanya unajua mjini shule)! sasa hizo chuki zako hapa hazitofua dafu, aidha wasinijibu au wanijibu nitaendeleza libeneke kwa mtindo mmoja !
 
Nimeshawaambia jamani dawa ya mtu huyu si kumjibu ni kumuacha aweweseke peke yake. Mnavyojibishana naye ndiyo mnampa kichwa. ukibishana na mjinga na wewe unakuwa mjinga. mpeni kubwa na tuendelee na issues

sasa hapa ulikuwa unawaambia akina nani maana naona umemkwoti kada yakhe !
 
CCM hao nini?
lakini tusubiri taarifa zaidi isije ikawa leo ni siku ya wajinga!!!

Zitto alikuwa na mkutano leo DDC

Ha ha Ndio maana ccm wanashinda kwa kishindo maana imetukaa sana vinywani na mawazoni mwetu ata wakati wa kupiga kura watu uwa wanaona jina la CCM tuu.
 
heheee, ICADON umeua !

inawezekana ikawa kweli, katika kila kitu ccm, hata kwenye kura vijana wanaona ccm tu, teh teh teh nimecheka hapo !
 
Personally, I dont think kwamba hii ni issue muhimu ya kujadiliwa hapa JF. Gari ya zitto imegonga nyumba??? So what???
Upuuzi mtupu huu,hii thread inasaidia nini wanaJF? kuna thread muhimu ya Mikataba haiguswi woote mnakimbilia huku.
 
Upuuzi mtupu huu,hii thread inasaidia nini wanaJF? kuna thread muhimu ya Mikataba haiguswi woote mnakimbilia huku.

Hapo hakuna upuuzi ukijaribu kuiangalia issue kwa upana. Zitto ni mmoja wa wale waliopigia kelele hiyo mikataba , sasa tukisikia gari yake imegongwa ni lazima tuanze kuuliza kulikoni?

Je tukisikia kuku wake amechinjwa na watu wasiojulikana, tusiulize kulikoni? kwa sababu kuku kuchinjwa ni kitu kidogo? hapa sina maana ya ku-imply kitu chochote ila matukio madogodogo kama hayo yanaweza yakawa yanafit kwenye puzzle fulani kama mtu atayachunguza kwa undani na kama hayafit kwenye puzzle yoyote basi ni baada ya kuyaangalia kwa undani na kugundua kwamba ilikuwa ni coincidence tu.

Point ni kwamba hatuwezi kujua ni vitu vidogo kama hatutavizungumzia, vinaweza kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na hiyo mikataba na ili kugundua kwamba havina uhusiano na hiyo mikataba sharti vizungumziwe.
 
je vipi kuhusu wale wananchi wanaopiga kelele maisha bora kila siku, wanaogombea maji safi kila siku na hawaishi kupata ajali, je unalo lolote la kusema pale hawa waungwana wanapopata ajali pia ??
 
Hivi wewe Kada leo huna la kufanya nini...? Kutwa nzima umeshinda jamboforums.....nenda hata mall basi ukaangaze macho kidogo...eeeh
 
je vipi kuhusu wale wananchi wanaopiga kelele maisha bora kila siku, wanaogombea maji safi kila siku na hawaishi kupata ajali, je unalo lolote la kusema pale hawa waungwana wanapopata ajali pia ??

KadaMpinzani don't play naive, leo hii wewe mwananchi wa kawaida akiangukiwa na radi watu watasema ajali, lakini Radi imuangukie Slaa au Zitto lazima watu watauliza kulikoni? mpaka wapate majibu ya uhakika kama ni ajali tu au kama kuna mkono wa mtu, hujawahi kusikia "make it look like an accident"?

Narudia, simaanishi gari yake kugongwa kuna mkono wa mtu, ila lazima watu waulize kulikoni?
 
je vipi kuhusu wale wananchi wanaopiga kelele maisha bora kila siku, wanaogombea maji safi kila siku na hawaishi kupata ajali, je unalo lolote la kusema pale hawa waungwana wanapopata ajali pia ??
__________________

Kama unafuatilia kwa makini utabaini kwamba humu JF watu walijadili sana masuala ya ajali za barabarani ambazo watu wamekua wakipoteza maisha. Lakini pili Zitto ni kiongozi kama alivyo Marehemu Sokoine, Merehemu Kombe, marehemu Salome Mbatia, kwa hiyo suala la ajali ni suala la kujadiliwa na inaotokea gari la kiongozi mjadala unanoga zaidi na ndio maana magazeti yameandika. Lakini pia Zitto ni mtu maarufu na muhimu na ndio maana Rais amemteua katika Kamati ya Madini, kama alivyo Jaji Mark Bomani, Dr Mwakyembe, John Cheyo na Ezekiel Maige, kwa hiyo kwa kuwa maarufu na kuwa yeye ndiye aliyeibua mjadala huu, jambo linalomhusu lazima lijadiliwe. Leo kama hiyo gari isingepata ajali, tukasikia gari la Zitto limefyatuliwa risasi na polisi baada ya kukutwa likifanya ujambazi katika maneo fulani katikati ya jiji, ingekuaje? Halafu ingesikika kwamba gari hilo limekutwa limechomwa moto mahali fulani na Zitto hajulikani aliko, tungesemaje?

Kwa mantiki hiyo, bila kujali itikadi za vyama, kama alivyosema mjumbe mmoja ni kwamba uchunguzi na mjadala wa kina usiwekewe vikwazo, bali hoja iwe wazi ili UKWELI UJULIKANE KAMA NI TUKIO LA KAWAIDA ITAJULIKANA KAMA KUNA ZIADA PIA IJULIKANE NA SI KUZIBA MIDOMO YA WATU, ili watu waendelee kujadili UPUUZI WA KASHFA ZA KIJINGA ZA VIONGOZI (wa pande zote).. Hili lina msingi kuliko kile kinachoitwa kashfa ya Slaa, Mbowe, JK etc.

MWISHO NASEMA USALAMA WA ZITTO KWA SASA SI USALAMA WA CHADEMA WALA CCM NI USALAMA WA TAIFA.. KUMBUKA UMATI WA WATU ULIONYESHEWA NA MVUA JANGWANI, LEO ZITTO ADHURIKE BILA KUWAPO MAELEZO YA KUTOSHA, ITAKUA NI KUHATARISHA USALAMA WA TAIFA. TUSITIZAME VYAMA TUTIZAME TAIFA LETU
 
Engineer Mohamed, achana na mambo ya ujana, hii ya msaada kwenye tuta inanikumbusha mbali sana, wenyewe walikuwa na maana pana zaidi. anyway hii ni week end wakati mwingine inabidi kutanua mbavu. ha hah haaaa
 
mkjj.....

si ulisema unataka kujiunga na CCM ama vp? au dau limekuwa dogo?

KADA MPINZANI....

mie nimeshachoka na siasa za bongo,badae naenda kuleeeeeeee KWA WAKUBWA kusoma vitu vya BRAZAMENI.........MSAADA KATIKA TUTA
...

tukutane huko kwa brazameni mzee injinia, nami naenda kupumzika huko yakhe !
 
Du, Hata Kada unashabikia msaada kwenye Tuta!!! ha hahahaha, mie simo bora nikalale tuonane kesho Inshallah wasalaam
 
otea nazungumza kwa niaba ya nani !
Kada mbona unauliza maswali ya kitoto? nani hafahamu wadhifa wako mkuu wangu?
Ok,kwa wale wasiofahamu cheo chako ni hiki;
Mhe.Kadampinzani, CCM Senior Representative officer in JamboForum, Anayeshughulikia mahsusi na Upotoshaji na Vioja tuu.
 
duhhhhhhhhh ! wewe mzee weee, mie sipo hapa kuwakilisha chama, maana hata hao viongozi wenyewe sifahamiani nao, hehehe. sasa nitawakilisha vipi ?

wkend njema mkuu, fanya fujo zote leo kesho uamke salama !
 
Kwa hiyo huwakilishi Chama chochote na vilevile umegoma kabisa kujihusisha na mapambano endelevu ya kifikra.

Mkuu,kama raslimali mtu ukiendelea kufanya na kuandiaka unayoandi hapa utakua una misuse resource mkuu.

Just waste your precious time here by typing rubbish stuffs huku mijadala endelevu ikipotoshwa kwa sababu ya characters kama wewe.

Halafu hata huyo aliyekupa hii kazi kama ni kweli basi amekosea sana au ndio mambo yale yale ya Daktari wa mifupa kupewa uwaziri wa ulinzi.Unajua CCM udhaifu mmeuanzia mbali sana.

Tukate tu ishus
 
sasa wewe mbona unalalamikia ccm wakati am not affiliated with them ??

ningekuwa nawaunga mkono chadema mngesema chadema wamenituma ? je hao wanaoride on chadema mnawasema the same way mnavyonisema mimi ??
 
Kada rejea swali lako la msingi "Otea nazungumza kwa niaba ya nani?" sasa watu wanaangalia mwelekeo wako. Unatetea ufisadi kuliko hata Kingunge na wenzie tunaowafahamu ndio maana tunadhani hicho ndio cheo chako huko.
Anyway,Mzee kata issue kama kawaida maana huu uwanja mpana na tunakuhitaji kwelikweli.
 
Back
Top Bottom