Gari la wolper kondom kibao

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
BACKPAGENew2.jpg


wolper1.jpg


Na Imelda Mtema

Gari la mcheza filamu hot Bongo, Jacqueline Wolper Masawe limefumwa likiwa na kondom za aina mbalimbali.
Ishu hiyo ilidakwa na Weekly Exclusive Star, Jumanne ya wiki hii nyakati za mchana wakati msanii huyo akiwa katika mishemishe zake za kila siku.

Mwenyewe alipobanwa na paparazi wetu kuhusiana na ishu hiyo, alikiri ‘mipira’ hiyo ya kiume ni yake na kwamba, ndiyo silaha kubwa kuliko yoyote hapa duniani, hivyo lazima awe nayo popote.

Staa huyo ambaye kwa sasa yuko kwenye muonekano wa ki-Amber Rose, alikwenda mbele zaidi kwa kuweka wazi kwamba katika ulimwengu huu kondom ni kitu cha kawaida sana.

“Ni bora kutembea na kondom ndani ya gari kuliko pesa kwa sababu ‘zana’ hiyo ndiyo uhai wa mtu na kwa ulimwengu huu ni kitu muhimu.

“Unajua wengi wanaamini pesa ndiyo kitu muhimu, lakini kondom ndiyo silaha bora kuliko zote. Kwa kweli mimi kwenye gari langu lazima ziwepo,” alisema.

Msanii huyo aliongeza kwamba hata kama yupo na ‘mtu wake’ faragha na amesahau ‘kifaa’ hicho, yeye hutoa na kumkabidhi akimwambia: “Baba usipate tabu, kwa vile nakupenda nakulinda.”

Aidha, amewaomba wasanii wenzake (Aunt, Shumileta, Odama, Shamsa Ford na wengine), waige mfano wake kwa kuwa ‘silaha’ hiyo hata kwenye pochi inakaa.
 
Japo simfahamu ila anaonekana yuko makini na biashara yake, lazima atakuwa anaifanya kwa ueledi, uhodari na usalama zaidi sio wale wanao funua tu halafu ndio wanaukuuliza kama unakondom na kama huna utasikia p.i.z.i.a nje siku zangu sio nzuri! Nyambaf
 
Huyo anatembea nazo tu angeulizwa kama huwa anatumia ndomu zenyewe au sanaa
 
hongera sana wolper ..utatukanewa lakini wewe unajipenda sana

sie wenyewe kutumia kazi, unaweza kuwa nayo mfukoni lakini usiitumie..anawezaje kulazimisha ivaliwe na mwanaume anaelipia huduma?? ingekuwa amekutwa na za kike hapo mswano!
 
View attachment 40690View attachment 40691Na Imelda MtemaGari la mcheza filamu hot Bongo, Jacqueline Wolper Masawe limefumwa likiwa na kondom za aina mbalimbali.Ishu hiyo ilidakwa na Weekly Exclusive Star, Jumanne ya wiki hii nyakati za mchana wakati msanii huyo akiwa katika mishemishe zake za kila siku.Mwenyewe alipobanwa na paparazi wetu kuhusiana na ishu hiyo, alikiri ‘mipira' hiyo ya kiume ni yake na kwamba, ndiyo silaha kubwa kuliko yoyote hapa duniani, hivyo lazima awe nayo popote.Staa huyo ambaye kwa sasa yuko kwenye muonekano wa ki-Amber Rose, alikwenda mbele zaidi kwa kuweka wazi kwamba katika ulimwengu huu kondom ni kitu cha kawaida sana."Ni bora kutembea na kondom ndani ya gari kuliko pesa kwa sababu ‘zana' hiyo ndiyo uhai wa mtu na kwa ulimwengu huu ni kitu muhimu."Unajua wengi wanaamini pesa ndiyo kitu muhimu, lakini kondom ndiyo silaha bora kuliko zote. Kwa kweli mimi kwenye gari langu lazima ziwepo," alisema.Msanii huyo aliongeza kwamba hata kama yupo na ‘mtu wake' faragha na amesahau ‘kifaa' hicho, yeye hutoa na kumkabidhi akimwambia: "Baba usipate tabu, kwa vile nakupenda nakulinda."Aidha, amewaomba wasanii wenzake (Aunt, Shumileta, Odama, Shamsa Ford na wengine), waige mfano wake kwa kuwa ‘silaha' hiyo hata kwenye pochi inakaa.
Umekuwa wakala wa Shigongo?Naona post zako unachukua Global publishers tena bila hata ku-acknowledge
 
Bora mwanamke kubeba kondom.
Kwasababu nategemea garama zingine atazimudu mwanaume.
Kaonyesha ustarharabu siyo kumchuna tu mwanaume bila kumlinda kwa starehe ya muda mfupi.
Big up
 
Ndo mana magari yao huwa "tinted" naskia hata kwenye foleni za mjini huwa wanamaliza kabisa
 
Back
Top Bottom