Gari la Waziri wa Kazi lapata ajalli njia ya Arusha Moshi!

fuatilieni estimates za kulitengeneza lirudi upya ! wallah mtaona maajabu, windscreen haitapungua m3!
 
Angalau kazi zitapatikana kwa makenika, mbinu nzuri ya waziri kutengeneza ajira
 
Wahi studio kaombe mwenye kamara upige au trafiki lazima atakuwa ana simu nzuri ili tupate picha.
Kicheruka! Natumia Tecno T325 yani kuattech picha ni ndoto ya mchana!


Samahani kwa hilo la picha Kicheruka!
 
Back
Top Bottom