Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

WanaJF,
Taarifa sahihi ni kuwa Gari la Sugu akiwepo Silinde lilikuwa kwenye msafara wangu tulipotoka ziara ya Mbeya. Tulikuwa tunarejea Dar. Majira ya saa 3 usiku tukiwa maeneo ya "kwa Mathias" kama si kosei. Tyre ilipata moto sana. Hapakuwa na tatizo lilompata Silinde kwa kuwa hapakuwa na mlipuko wa moto. Wanaojua "break jam"wataelewa vizuri kilichotokea. Kwa msaada wa Mkiti wetu wa Pwani mafundi walipatikana na kufunga au kufungua pipe ya break ya tyre husika. Ndipo tukaendelea kumalizia safari salama. Wana JF lwa safari ndefu hivyo nadhani hakuna cha ajabu kwa tukio hilo.nadhani taarifa hii itawasaidia ku clear hali ya hewa.

mheshimiwa kama unapita pita huku usipuuzie huu ujumbe bonyeza HAPA
 
PUMBAVU;Pua yako inathibitisha ukaribu wako na nguruwe kuliko binadamu!!
Hukuwa na haja ya kutumia lugha chafu!
Mbona W.Slaa kanijibu kwa busara! Jaribu kujifunza kutoka kwa viongozi wako!!
Halafu usipende tu kurukia mada, ufafanuzi wa nilichokiandia tayari nimeshautoa
 
Walio karibu wafuatilie hizi habari please
soma post zilizopita
WanaJF,
Taarifa sahihi ni kuwa Gari la Sugu akiwepo Silinde lilikuwa kwenye msafara wangu tulipotoka ziara ya Mbeya. Tulikuwa tunarejea Dar. Majira ya saa 3 usiku tukiwa maeneo ya "kwa Mathias" kama si kosei. Tyre ilipata moto sana. Hapakuwa na tatizo lilompata Silinde kwa kuwa hapakuwa na mlipuko wa moto. Wanaojua "break jam"wataelewa vizuri kilichotokea. Kwa msaada wa Mkiti wetu wa Pwani mafundi walipatikana na kufunga au kufungua pipe ya break ya tyre husika. Ndipo tukaendelea kumalizia safari salama. Wana JF lwa safari ndefu hivyo nadhani hakuna cha ajabu kwa tukio hilo.nadhani taarifa hii itawasaidia ku clear hali ya hewa.
 
Kuna wakati nahisi damu ya Rejao ni mchanganyiko wa rangi tofauti na nyekundu... Kikani na manjano..
 
Lilipuke tu ili Insurance companies nazo ziwajibike!!!

Mods naomba samahani kwa hili,Rejao wewe ni shetani,Joka na Ibilisi mkubwa na kama huu ndio ushindani wa vyama basi sijui tunaenda wapi? Hivi unaweza kweli sema maneno kama hayo hapo juu? kama sio u-kenge huu unasema nini hapo?

REJAO NI KENGE,IBILISI,JOKA,SHETANI NA MUUAJI...Kwa hili nakubaliana na ban,haiwezekani kufurahia kifo cha mwenzako ukajiona kuwa ni wewe ni binadamu...
 
WanaJF,
Taarifa sahihi ni kuwa Gari la Sugu akiwepo Silinde lilikuwa kwenye msafara wangu tulipotoka ziara ya Mbeya. Tulikuwa tunarejea Dar. Majira ya saa 3 usiku tukiwa maeneo ya "kwa Mathias" kama si kosei. Tyre ilipata moto sana. Hapakuwa na tatizo lilompata Silinde kwa kuwa hapakuwa na mlipuko wa moto. Wanaojua "break jam"wataelewa vizuri kilichotokea. Kwa msaada wa Mkiti wetu wa Pwani mafundi walipatikana na kufunga au kufungua pipe ya break ya tyre husika. Ndipo tukaendelea kumalizia safari salama. Wana JF lwa safari ndefu hivyo nadhani hakuna cha ajabu kwa tukio hilo.nadhani taarifa hii itawasaidia ku clear hali ya hewa.

Tunashukuru sana mkuu, kwani kila mara unakuwa makini kurekebisha maramoja mambo yanapotaka kupotoshwa......japo upo katika kipindi kigumu cha msiba wa mbunge wetu.
 
Kumbe Insurance wanalipa hata Maisha ya watueee!! Maana hata Mbunge alinusurika kufa. Rejao leo unatumia nini kufikiri?
Mungi,
Jaribu kurudi nyuma ufuatilie posts zangu. Hili suala nimelitolea ufafanuzi. Sikumaanisha gari liungue pamoja na waliomo ndani, nimemaanisha gari lenyewe as an object. Sidhani kama kuna mwanadamu yeyote anayependa kumuona mwenzake anapoteza maisha, hata wawe na uhasama kiasi gani
 
Back
Top Bottom