Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

Walio na namba za simu za Sugu wampigie athibitishe kuliko kujadili kitu tusichohakikishiwa tukio.

Confirmed mkuu tayari, soma post ya mkuu edson humu ndani ilikuwa ni maeneo ya chalinze wakitokea mbeya kwenda msibani, ila waliwahi kuuzima moto kwa fireexitinguisher iliyo kuwa ndani ya gari na baadaye wakawasiliana na cdm makao makuu mafundi wakaenda eneo husika na gari likavutwa hadi Dar
 
Kama yaliyotokea ni kweli kuna haja serikali ikafanya uchunguzi dhidi ya magari ya TOYOTA COMPANY coz kama mtakumbuka miaka ya hivi karibuni yalionekana kuwa yana mechanical failures mfano breki kufeli. Wamarekani walirejesha Japan mamia ya magari
 
Nina maanisha kuwa hiyo gari kama imelipuka, atalipwa jingine provided ana comprehensive Insurance...

Wewe unatumia nini???

unaongelea kuhusu gari kulipwa vipi kama wange kufa.? We ni mzimu wa munkende huko nigeria!!
 
ndio zenu hizo kuamini ushirikina! Mara kikombe cha babu ni kiboko, mara... Jamani hakuna mchawi wala bundi! La muhimu wabunge wapya hasa wa chadema wanahitaji kozi za kuendesha hayo mashangingi waliyopewa na bunge ili kuepuka ajali!!

Sina uhakika ila kwa ninavyomjua sugu,inawezekana alianza ku drive before u re dad did,na issue ya moto na mafunzo ya uendeshaji wa gari vinaingiliana vipi?
 
ndiyo..

wakati sugu anatoka mbeya the same day dada Regia alipopata ajali ; gari la sugu nalo liliungua moto maeneo ya chalinze kwa mathias.....sugu anasema alitoka mbeya salama na gari lilikuwa limefanyiwa service...lakini kufka maeneo ya chalinze wakaanza kusikia harufu ya kitu kama kinaungua(yeye na wengine waliokuwa ndani ya gari pamoja na mhe.Silinde) harufu ile wadhani ni ya gari lingine walilopishana nalo.....

walipofika mbele kidogo wakakutana na Hiace ya abirian na konda aliyekuwa ametoa kichwa nje akaliona gari la sugu likiwaka moto kwa chini ..ndipo alipowaambia kuwa ''gari lenu linawaka moto'' ...sugu na wenzake wakashuka haraka na kweli wakaona vyuma vya chini ya gari vinawaka moto na hap wakachukua fire extinguisher iliyokuwan ndai ya gari na kuanza kuzima moto huo....

badae waliwasiliana na makao makuu ya chadema na mafundi waliletwa pale na baadae likavutwa hadi dar.....

Nasikia harufu ya consipiracy
 
ndio zenu hizo kuamini ushirikina! Mara kikombe cha babu ni kiboko, mara... Jamani hakuna mchawi wala bundi! La muhimu wabunge wapya hasa wa chadema wanahitaji kozi za kuendesha hayo mashangingi waliyopewa na bunge ili kuepuka ajali!!

Sasa kuwaka moto na udereva vinahusiana nini?
 
God z with us chadema, so we are not sapoz 2 b afraid also inatubidi tuyachukulie matatizo kama changamoto (fursa) ya kupiga hatu nyingine mbele.
 
unaongelea kuhusu gari kulipwa vipi kama wange kufa.? We ni mzimu wa munkende huko nigeria!!

Tunaelewa sana, wewe si ulitaka liwake moto tupoteze wabunge wawili tena

lakini lilipuke kukiwa hamna mtu ndani

Nieleweni wakuu....siwezi kumuombea mtu kifo hata kama ni adui yangu...nimemaanisha gari lenyewe kama object liungue...but watu wawe salama...na insurance compay iwajibike kulipa jingine!!
 
Nieleweni wakuu....siwezi kumuombea mtu kifo hata kama ni adui yangu...nimemaanisha gari lenyewe kama object liungue...but watu wawe salama...na insurance compay iwajibike kulipa jingine!!
mie nimekuelewa bana, wahindi na makampuni yao ya insurance wanakula kuku tu, urasimu kwenye kufuatlia malipo ni mkubwa mno kulinganisha na jinsi wanavyochota michango yao.
 
mie nimekuelewa bana, wahindi na makampuni yao ya insurance wanakula kuku tu, urasimu kwenye kufuatlia malipo ni mkubwa mno kulinganisha na jinsi wanavyochota michango yao.
Asante kwa kunielewa mkuu...
 
Yaani kuna wa2 wana lala kila siku wakiombea cmd ipate matatizo, lakini najua mola yuko upande wa cdm, wenye roho za kichawi wote muda si mrefu wataumbuka.
 
Back
Top Bottom