Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu tukiwa katika msiba mzito wa kuondokewa na mpendwa wetu Regia Mtema nimesikia tetesi kama hizo hapo juu, naomba mwenye taarifa atujuze na kama ni kweli kuna bundi gani tena katua chadema jamaani??!!Ee Molla tusaidie.

Nawasilisha.
 
mh!!!!!mbona sikuelewi!!chanzo cha tetesi plesae!!!
 
Mhhhh!!! what a wish???!?!......hata kama huipendi chadema, si namna hii jamani!!!!!!:shock:
Inaweza pia ikawa mbinu ya huyu mheshimiwa ili alipwe jingine. Si unaelewa tena yeye ni mtoto wa mjini? au umesahau alipotoka? Asili haipotei!!
 
tusubiri ila naskia huko mikoa flani kuna uchawi wa kuagiza moto ushike at a given target

ndio zenu hizo kuamini ushirikina! Mara kikombe cha babu ni kiboko, mara... Jamani hakuna mchawi wala bundi! La muhimu wabunge wapya hasa wa chadema wanahitaji kozi za kuendesha hayo mashangingi waliyopewa na bunge ili kuepuka ajali!!
 
Back
Top Bottom