Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

Huyo mtu

  • kwanza nitamwambia ajaribu kuweka LOGIC katika kujua na anapofanya baadhi reasoning zake. sababu kuna mambo hayawezi kuingizwa maabara.
  • Pili nitamwambia Asiangalie au kuwa na argument katika limited scope.

  • Tatu ajue kutoamini ni imani -ve ni kwamba anaamini but in a negative way.

Unamwambia aweke logic katika kitu kilicho beyond logic ?

Atawezaje kutokuweka argument iliyo na limited scope wakati ana argue kuhusu god the unlimited ?

Umesema kutoamini ni imani negative, sasa, huyu hana imani yoyoye, haamini kwamba mungu yupo, haamini kwamba mungu hayupo, hana imani yoyote, anasema "mimi sijui, na sijui kama hli jambo linaweza kujulikana kwa sababu mungu alivyoelezewa yupo nje ya kujulikana"

Ulivyosema wewe kwamba kutoamini kuwapo mungu ni negative belief, naweza kukubishia, kuna tofauti kati ya kuamini kutokuwapo kwa mungu na kutoamini kuwapo kwa mungu, huyu mtu siyo haamini, hataki ku deal na imani, hataki kuamini wala kutoamini, anataka kujua.

Utasemaje ?
 
Kiranga
Tembelea hii site jaribu kusoma option zote kwa makini. Proof That God Exists: logic

kifupi wanasema

  • The Proof that God exists is that without Him you couldn't prove anything.
  • There is a reason that you deny the existence of God and it has nothing to do with proof
Please examine the real reason why you are running from God. .......
 
Hizo ha- aamini ha - taki ndio hizo nasema ni imani negative. Kwa hiyo huyu jamaa anaamini sema ni imani -ve
Sasa kuhusu huyu mtu asiyeamini kwanza nitahitaji kujua msingi wa imani ya kutoamini kwake.

  • Inawezekana si tu haamini bali vile vile u hajui kwa nini haamini.
  • Inawezekana anaamini mungu hayupo sababu ya mambo anayoyajia kisayansi, philosophia , makuzi yake
Kwa hiyo huwezi kutambua uwepo wa mungu kwa kuwa na limited scope ya kwa nini papa anavaa bullet proof. Huwezi kutambua kuwepo wa mungu kwa kungali kigezo cha padri fulani kabaka mtoto au kiongozi fulani wa dini anashawishi waumini wajilipue.

Kwa mtazamo mfinyu kama huo ni lazima na rahisi kukosa imani ya uwepo wa mungu

Ndio maana nimekwambia with limted scope huwezi kuelewa. Unahitaji kutumia LOGIC ya kuunganisha mambo mbali mbali ya discpline mbali mbali. kama ni mtu ana akili timamu anaangalia mambo katika aspect mbali mbali za maisha ya mwanadamu na wanyama. Simple logic itamfanya huyu jamaa kuamini.
 
Kiranga
Tembelea hii site jaribu kusoma option zote kwa makini. Proof That God Exists: logic

kifupi wanasema

  • The Proof that God exists is that without Him you couldn't prove anything.
  • There is a reason that you deny the existence of God and it has nothing to do with proof
Please examine the real reason why you are running from God. .......

Classic,

I can argue that I cannot prove anything, since anything that I will try to prove must start with some assumptions.

Therefore, according to your above rule "without god, I couldn't prove anything" is realized in the above argument.

I can't prove anything (not even the assertion that I can't prove anything can be proven) therefore god does not exist.
 
Ndio maana nimesema usiwe na limited scope. u can prove something. Hapo uko kwenyekeyboard keyboard unawaza then uandika. unaweza kutofautisjha kati ya herufi C na Z . Unaweza kutype, unaweza kusoma. I belive u can prove that. Cant u? From even those small liitle things hata ungekuwa ni kipofu au kiziwi bado uwezo wa kuprove na ku relise existance of God.

May be sema wewe ungeprove nini ndio ungejuwa kuwa unaweza kuprove kitu

Cant u pove kuwa unavuta hewa? kama huwezi jaribu kupumua kwa kutoa nje kwa nguvu kubwa . Hiyo sauti inayotoka puani ni hewa. U can provve that. Kama wewe huwezi kuprove mimi naprove kuwa u can prove.

kwa mtazamo wangu ukitumia Logic na kuangalia scope mbali mbali za maisha yetu not unatakiwa kutambua uwepo wake muumba.
 
God said "shut the door and I will protect"
Gari la Pope, also known as the Popemobile, is a highly customized and very expensive vehicle that gives catholic worshiper a glimpse of their beloved leader while on tour.

My question is, why would the Pope, the "Apostolic See", need such protection if he is a man of god. Put it the other way, if the pope needs a bullet proof vehicle to go around spreading the message of god, what does it say about his own belief that god is the protector, the all knowing and all power full? I mean if god can’t assure the pope a protection, then where does it leave us, the simple disciples on the lower of the hierarchy?

All he has to do is say a prayer ask god for protection, then go out there and preach. At least that is what Jesus did (and he had plenty of enemies).

Also, if his time to go was to come while on tour preaching, for god’s sake he should let it happen. I mean why interfering with god’s plan! Why does he go around on a bullet proof car fearing death…doesn’t he want to go to heaven and meet god? I am very confused when I see him on that protective vehicle – He sure does not BELIEVE that god can protect him against his enemy (who I would imagine are also god’s enemy)!

My 0.2
 
they call them selves philosophers they have some reasonable doubt about religion
one of them said
"Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent. Is he able, but not willing? Then he is malevolent. Is he both able and willing? Then whence cometh evil? Is he neither able nor willing? Then why call him God?" and he said We must respect the other fellow's religion, but only in the sense and to the extent that we respect his theory that his wife is beautiful and his children smart."
 
mbona OSAMA amejificha kuuliwa au kukamatwa na MAREKANI,ajitokeze waue ili akakutane na hao Mabikra 10000 huko heaven yao,asijilinde kwa kukimbilia mapangoni....
 
Imani ina viwango, na hutofautika kati ya mtu na mtu na au hata kiumbe kimoja kwa kingine. Tofauti hizi za kiwango cha imani haziondoi ukweli wa uwepo wa chanzo cha uumbaji ambacho ni Mungu muumba. Mwanadamu anapojaribu kumtafakari Mungu kwa kumwekea mipaka inayobanwa na kiwango chake cha ufahamu ndipo humkosa kabisa na kusababisha shule zenye mawazo tofauti zinazopingana. Mungu yeye yupo katika ofisi ya uweza wote kujua yote na haya yote tunayoyapitia kwake yalikamilishwa kabla ya misingi ya ulimwengu kwa maana ya yeye aliyeana na yote kwake yalithibitika. Sasa swali linaweza kuinuka ni kwa nini tumeagizwa kumwomba? Tumeagizwa kufanya hivyo kwa uthibitisho wa kile yeye ambacho yeye alishakihakikisha kabla na hivyo sii maombi yetu yanaweza kubadili chochote wakati tuombapo bali kama ni kubadili au kutobadili kulishafanyika kabla katika kusudi lake la milele. Kama ni kuishi kuliisha tamkwa na yeye na kama ni kufa kuliishatamkwa na yeye na hivyo basi tunachopaswa ni ku- appreciate hali yoyote in +ve way. Tutajitia katika fadhaa ikiwa ya kwamba tutajiweka mahala pa kumlazimisha Mungu kuyakubali yale tunayomwagiza na sii kwamba tutamwomba huku tukisubiri mapenzi yake yalio jibu la kile alichokipanga kabla ya kutukia kwa maana ya kukiona kabla. Ikiwa hatutaona huu ukweli wa ya kwamba hakuna lolote linaloweza kutu.kia ikiwa halikuagizwa na Mungu basi tutafikia mahali pa kufikiri kwamba Mungu ametukataa kwa sababu tu jawabu la maombi yetu limekuja kinyeme cha matarajio yetu na hapa ndipo tunapozalisha watu wa jinsi ya Karanga. Maana yeye anafikiri Mungu ni kitu cha kupokea maagizo ya mtu, na kama hakufanya hivyo basi hayupo. Papa yeye kutumia bullet proof kujikinga ni kuonyesha kwamba yeye ni mtu na ana madhaifu kama mtu mwingine yeyote yule. Hakuna kitu chenye uhai kisichoogopa kuupoteza uhai. Ona jinsi maumbile yanavyougua wakati yakitaabika kuupoteza uhai wake. Maumivu yanayosababishwa na kupotea kwa uhai wa kiumbe ni makubwa mno. Sasa mtu anaeishi kwa mavazi atapata maradhi na kufa ikiwa utamlazimisha kuishi bila vazi, lakini mwingine aliye mtu pia kama huyu ataishi pangoni na bila mavazi na hata hivyo hafi kwa maradhi ya kukosa mavazi. Sasa huu ni mfano wa tufauti za imani katika maumbile yale yale. Mafundisho yalio mitizamo ya wanadamu kumhusu Mungu ndio yaliyosababisha tofauti na maswali yasiyojibika miongoni mwao. Sawa na mtu mmoja aliyetolea mfano wa vipofu waliojaribu kumwelezea tembo. Sii hata mmoja aliyeweza kutoa picha halisi
 
mbona OSAMA amejificha kuuliwa au kukamatwa na MAREKANI,ajitokeze waue ili akakutane na hao Mabikra 10000 huko heaven yao,asijilinde kwa kukimbilia mapangoni....

yaani wewe unamiini kuna mtu anaitwa osama...??!! yaani miaka karibu 20 NATO, MARINES, MAJESHI YA UK... Yashidwe kukikamata kizee kinachozungukwa jangwani na ngamia... inakaa akili kweli!? haha! osama doesnt exist!.. made up issues

jifunze hapa https://www.jamiiforums.com/international-forum/74354-power-of-nightmares-1of6-watch-and-learn.html
 
Ndio maana Mungu akatupatia akili na utashi! Kwanini unajenga nyumba na kulala ndani yake? Acha basi usijenge nyumba subiri Mungu atakuja kukujengea na kukuhifadhi!
 
Imani ina viwango, na hutofautika kati ya mtu na mtu na au hata kiumbe kimoja kwa kingine. Tofauti hizi za kiwango cha imani haziondoi ukweli wa uwepo wa chanzo cha uumbaji ambacho ni Mungu muumba. Mwanadamu anapojaribu kumtafakari Mungu kwa kumwekea mipaka inayobanwa na kiwango chake cha ufahamu ndipo humkosa kabisa na kusababisha shule zenye mawazo tofauti zinazopingana. Mungu yeye yupo katika ofisi ya uweza wote kujua yote na haya yote tunayoyapitia kwake yalikamilishwa kabla ya misingi ya ulimwengu kwa maana ya yeye aliyeana na yote kwake yalithibitika. Sasa swali linaweza kuinuka ni kwa nini tumeagizwa kumwomba? Tumeagizwa kufanya hivyo kwa uthibitisho wa kile yeye ambacho yeye alishakihakikisha kabla na hivyo sii maombi yetu yanaweza kubadili chochote wakati tuombapo bali kama ni kubadili au kutobadili kulishafanyika kabla katika kusudi lake la milele. Kama ni kuishi kuliisha tamkwa na yeye na kama ni kufa kuliishatamkwa na yeye na hivyo basi tunachopaswa ni ku- appreciate hali yoyote in +ve way. Tutajitia katika fadhaa ikiwa ya kwamba tutajiweka mahala pa kumlazimisha Mungu kuyakubali yale tunayomwagiza na sii kwamba tutamwomba huku tukisubiri mapenzi yake yalio jibu la kile alichokipanga kabla ya kutukia kwa maana ya kukiona kabla. Ikiwa hatutaona huu ukweli wa ya kwamba hakuna lolote linaloweza kutu.kia ikiwa halikuagizwa na Mungu basi tutafikia mahali pa kufikiri kwamba Mungu ametukataa kwa sababu tu jawabu la maombi yetu limekuja kinyeme cha matarajio yetu na hapa ndipo tunapozalisha watu wa jinsi ya Karanga. Maana yeye anafikiri Mungu ni kitu cha kupokea maagizo ya mtu, na kama hakufanya hivyo basi hayupo. Papa yeye kutumia bullet proof kujikinga ni kuonyesha kwamba yeye ni mtu na ana madhaifu kama mtu mwingine yeyote yule. Hakuna kitu chenye uhai kisichoogopa kuupoteza uhai. Ona jinsi maumbile yanavyougua wakati yakitaabika kuupoteza uhai wake. Maumivu yanayosababishwa na kupotea kwa uhai wa kiumbe ni makubwa mno. Sasa mtu anaeishi kwa mavazi atapata maradhi na kufa ikiwa utamlazimisha kuishi bila vazi, lakini mwingine aliye mtu pia kama huyu ataishi pangoni na bila mavazi na hata hivyo hafi kwa maradhi ya kukosa mavazi. Sasa huu ni mfano wa tufauti za imani katika maumbile yale yale. Mafundisho yalio mitizamo ya wanadamu kumhusu Mungu ndio yaliyosababisha tofauti na maswali yasiyojibika miongoni mwao. Sawa na mtu mmoja aliyetolea mfano wa vipofu waliojaribu kumwelezea tembo. Sii hata mmoja aliyeweza kutoa picha halisi

kiby

siku nyengine tusaidie wasomaji wako kwa kutuwekea paragraph.

natanguliza shukrani ....:)
 
Gari la Pope, also known as the Popemobile, is a highly customized and very expensive vehicle that gives catholic worshiper a glimpse of their beloved leader while on tour.

My question is, why would the Pope, the "Apostolic See", need such protection if he is a man of god. Put it the other way, if the pope needs a bullet proof vehicle to go around spreading the message of god, what does it say about his own belief that god is the protector, the all knowing and all power full? I mean if god can't assure the pope a protection, then where does it leave us, the simple disciples on the lower of the hierarchy?

All he has to do is say a prayer ask god for protection, then go out there and preach. At least that is what Jesus did (and he had plenty of enemies).

Also, if his time to go was to come while on tour preaching, for god's sake he should let it happen. I mean why interfering with god's plan! Why does he go around on a bullet proof car fearing death…doesn't he want to go to heaven and meet god? I am very confused when I see him on that protective vehicle – He sure does not BELIEVE that god can protect him against his enemy (who I would imagine are also god's enemy)!

My 0.2

So why didn't Jesus throw himself when he was tempeted for the 3rd time by the Devil? Do you think God couldn't have sent Angels to his rescue?
 
So why didn't Jesus throw himself when he was tempeted for the 3rd time by the Devil? Do you think God couldn't have sent Angels to his rescue?
Mkuu DM
Waache wafu(PlanckScale+Kiranga) wazikane wao kwa wao!
Usimwamshe alielala, vinginevyo utalala wewe!
 
Wanaomtetea PAPA ni wapagani hawamjui Mungu.
Mungu hakuweka himaya ya kifalme duniani ametuweka tutumike ili turithi mamlaka ya kifalme mbinguni.

Mteteeni binadamu PAPA maana hamumjui Mungu alie hai.
Bora waislam kuliko wahalifu wanaojificha chini ya kivuli cha ukristo.
Someni !Wakorintho 11:1 (dare to say)

Ukisoma katikati ya mistari hapo utagundua hili ni tusi na kashfa/dharau kwa wote hao, yaani, waislamu na hao unaowaita wahalifu wanaojificha chini ya kivuli cha ukristo......... Yaani umewaona wote ni madebe tupu ila mmojawapo ana afadhali kidogo!! Binadamu tulioumbwa na Mungu mmoja tukifikia hatua hii, hata mashetani wataonekana malaika!:confused2:

Eee Mungu twakuomba utuhurumie na utusamehe kwa maana sisi binadamu hatujui tukukoseavyo.

Watu wote bila kujali imani zenu semeni AMINA!:welcome:
 
Mi nafikiri munatakiwa kuyaweka ya kibinadamu kuyaacha kwa Wanadamu wenyewe,, kwasababu Pop kabla yake Hebu Tazama Hii historia:
Pope Benedict XVI (Latin: Benedictus PP. XVI; Italian: Benedetto XVI; German: Benedikt XVI.; born Joseph Alois Ratzinger on 16 April 1927) is the 265th and current Pope,[1] by virtue of his office of Bishop of Rome, the head of the Catholic Church and, as such, Sovereign of the Vatican City State. He was elected on 19 April 2005 in a papal conclave, celebrated his Papal Inauguration Mass on 24 April 2005, and took possession of his cathedral, the Basilica of St. John Lateran, on 7 May 2005. A native of Bavaria, Pope Benedict XVI has both German and Vatican citizenship. He succeeded John Paul II.

Nafikiri Mpaka Hapo utakuwa umejua kuwa huyu ni Binadamu kama wewe,, kwa maana kwamba Kwa Waroman POPE ni DRAJA la juu yaani ni kiongozi wao wa kanisa Dunia Mzima.

Kuhusu suala la kujilinda ni kwasababu ya ukaidi wa binadam wa sasa: Zamani haya mambo hayakuwepo, lakini tumesha wahi kusikia Pope John Poul alipigwa Risasi na mtu ambaye baada ya kupata Nafuu alimsamehe,, sasa kwanini Pope Benedict asijilinde ili hayo yasimtokee?

Wewe mbona unajilinda, na kusingekuwa na sababu ya kujilinda basi hata hao Maaskofu wote ni watu wa Mungu wasinge jenga nyuma zenye Fensi kwasababu Hata kuiba Watu sasa wanaiba Makanisani na Kwenye nyumba za watumishi wa Mungu..

Hapo nafikiri nimeeleweka.
 
Hebu sasa mujadili mambo mengine bwana huyo muacheni na Imani za Waroman na wewe ubaki na iman yako kwisha
 
Ili ni suala la imani. Kwa imani yangu Yesu wakati yupo duniani alikuwa Mungu - mtu, ila papa sio Mungu - mtu. Baada ya Yesu kupaa mbinguni, tuliletewa msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu ambaye anatufundisha na kutukumbusha neno la Mungu, kwa maneno mengine anatuimarisha na kutulinda kwa namna mbali mbali. Kutumia hilo gari ni maelekezo ya Roho Mtakatifu.

Kwanza, hivi hii thread ni sehemu yake hapa?
 
Gari la Pope, also known as the Popemobile, is a highly customized and very expensive vehicle that gives catholic worshiper a glimpse of their beloved leader while on tour.

My question is, why would the Pope, the "Apostolic See", need such protection if he is a man of god. Put it the other way, if the pope needs a bullet proof vehicle to go around spreading the message of god, what does it say about his own belief that god is the protector, the all knowing and all power full? I mean if god can’t assure the pope a protection, then where does it leave us, the simple disciples on the lower of the hierarchy?

All he has to do is say a prayer ask god for protection, then go out there and preach. At least that is what Jesus did (and he had plenty of enemies).

Also, if his time to go was to come while on tour preaching, for god’s sake he should let it happen. I mean why interfering with god’s plan! Why does he go around on a bullet proof car fearing death…doesn’t he want to go to heaven and meet god? I am very confused when I see him on that protective vehicle – He sure does not BELIEVE that god can protect him against his enemy (who I would imagine are also god’s enemy)!

My 0.2

Well indeed as you have stated below you are confused.

You are one of the people who would say anything to disprove the Catholic faith and spiritually challenge the people who are weak in their catholic faith..Such thinking is dangerous..its like in the news, you hear of Christians who would not take the children to the hospitals, they sit and expect to see a miracle from God with their naked eye. They forget that medicine and hospitals are God's miraculous ways. Wanamjaribu Mungu

The same way you are confused, you would also suggest that the Pope should not go to the hospital when he gets sick. The Pope has many enemies and this has been proved before.

Expecting a miracle by not protecting our leader and exposing him unprotected with a clear understanding of his enemies presence ni kama kumjaribu Mungu. And this is forbidden in the holy scriptures
 
I think you remember that Jesus was prosecuted and died. His physical
body was given to the laws of human existence when he was here on
earth with us he felt pain and all his other senses were working fine.
I am sure when he fasted for 40 days he should have died, because it
was not time yet, he felt ill and exhausted instead and the devil
knowing the laws that govern the human body chose this time to tempt
him to call on the power of God. Did he do it? The only other times he
got tempted to call on the power of God was at Getsemani the night
before he died knowing what he will go through and the time at the
cross, after so much suffering, when they asked him to call to heaven
to get him down from the cross.

You also remember that Pope John Paul the II was shot and spent some
time in bed. Being an older man he healed longer than you or I would
now. Because he cannot be above Jesus, His body is also bound by human
laws so it was a wasted time in doing his work, but you will notice he
did not die until he fulfilled God's agenda which included reconciling
the church to Jews and to Protestants among other things.

This Pope among other things has been given the job of returning the
church back to it's spiritual character than what it is now, an
administration body that results in most of us including priests not
knowing the holy scripture and therefore loosing our ways and doing
other things that are unpleasant to God. Because his body is also
bound to human laws he might be shot any time by people trying to
prove the power of God. Although he won't die until God feels he has
fulfilled his mission he will spend an awful lot of time in bed and
that is wasteful. Because he has been blessed with the gift of wisdom
his job is not to prove the supernatural power of God for theatrical
purpose but to elaborate the infinite love of God for his people by
example through humility, exhortation, forgiveness and other ways that
the Holy Spirit shows him. Imagine if he is recovering from a
different wound every six months. I would say he has lost his charism
of wisdom.

When he started people used to have a very bad impression of him but
now almost all of Europe has changed their opinion, they see him as a
loving father figure when they look at the way he is trying to sort
the abuse issue. (Of course because the devil is stil arround there
will be some who will try and pretend that he isn't doing anything)

God can show his own power by wiping out all the murderers not only
those who want to kill the Pope but for us as well.

Remember that no human being ranks above the other in the eyes of God
including the Pope. All of us have been Given a responsibility in the
body of Christ (church), it's only the levels of responsibilities vary
from one to the other. Doesn't that put us in the same possition, of
people to try and see if we are really under Gods protection? Do you
think it will be wise of you to leave your front door open after
evening prayers before going to bed?
 
Back
Top Bottom