Elections 2010 Gari la Mrema lavunjwa kioo na wafuasi wa CCM

Hao wanaoshabikia uhuni nao ni wahuni kwani kwa vyovyote vile uhuni na uvunjaji wa amani ni vitu vya kukemea. huyo rasta ashughulikiwe na vyombo husika...tusiache kampeni zichukue sura hiyo kwani leo akianza Mrema kesho atafuata nani? hao wahuni hawakubaliki kwenye jamii ya wastaarabu.Kampeni ziwe za kistaarabu hata kama aliasi,mbona Dr.Slaa ameasi kanisa na anatetewa iweje mrema? watu wanaasi ndoa na makubaliano kibao wanayoweka mbona hawafanyiwi fujo hizo. TUSTAARABIKE

ccm imeingiliwa na matalebani
 
Back
Top Bottom