Gari la Mh.Mnyika

Make: VW Model:""bito"" Year Make:1973, cc230,Color:light blue,Gear Transmission:AUTO Fuel:Gas oil,Seats:2
 
attachment.php

Mmemshindwa kwenye Hoja mmeamia kwenye Gari?Hilo hapo tuambie ulikuwa unataka kusemaje?
 

Attachments

  • IMG_4986.JPG
    IMG_4986.JPG
    124.1 KB · Views: 395
mtoa mada fikiria kuhusu kuliendeleza hili taifa letu na sio kufikiria nani anaendesha gari gani, ndio mana nchi yetu kweli maskini
 
Kweli Jamii forum imevamiwa yaani mtu anaanzisha thread kama hii? eti unataka kujua gari la mbunge? litakusaidia nini? wewe badala ya kufuatilia ahadi zake wakati wa kampeni na utekelezaji wake unafuatilia gari?

Angalia maendeleo jimbo mwake angalia mchango wake bungeni angalia mchango wake kwenye chama! acha upuuzi puuzi wako wewe! hii nchi kuna mambo mengi za kufuatilia mfano hayo matrilioni yaliyofichwa uswis sio mambo ya udaku! hame on you narrow minded person!!
 
Vitz ya kuzugia lakini nasikia anayo V8 Shangingi.
kwani mkopo aliopewa kama mbunge hautoshi kununua V8?? acha mambo ya kidaku wewe gamba! lini utaondoa matope kichwani kwako na kufuatilia mambo ya maana??
 
nafikiri ulitendei haki jukwaa hili siyo sehemu ya kuuliza mambo hayo hapa we lete hoja km unayo km huna kakojoe ulale
 
Hii topic ingekuwa vizuri kama ingehamishiwa kwenye chit chat japokua inamhusu mwana siasa haina content ya siasa other than chit chat!!
 
JF Where we Dare to Talk Openly
:focus:
Na nyie Changieni Chenu
Ndo Mana akalileta Kwenu.
 
Back
Top Bottom