Gari la kisasa linauzwa

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Gari hili la kisasa kabisa lenye uwezo wa kubeba hadi tani 3 za ndizi linauzwa kwa bei nafuu kabisa sawa na bure. Gari lina sifa zifuatazo
  • Transmission: Manual
  • 4WD
  • AC
  • Full Music System
  • 5 doors
  • Color: Metallic rust

gariinauzwa.png


kama umeipenda gari na unataka kuinunua tafadhali ni PM ili nikuelekeze namna ya kuipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom