Gari la DG wa PPF laua mtu Morogoro, ahonga, na kuondoka kwenda Dar

Wala msijali, mtu katoa mil. 10 unategemea kuna kesi hapo. Cha msingi ni kuelewa kwamba mtu anayepatwa na ishu kama hiyo (kugonga mtu then kuhonga) ujue kwamba inamkaa kwenye akili yake maisha yake yote. Watu kama hao unakuta ni watu wenye stress all the time coz ana feel guilty kwa aliyoyafanya. Watu ka hao hawanaga full hapiness. Tru story!
 
@mchukiaufisadi,

DG wa PPF Bwana Erio William Mkapa.Anaitwa Willioma Erio ndio jina. Na Kwa uelewa wangu mama yake na Benjamin William Mkapa ni mtu na Dada hivyo Erio hawezi kuwa Mkapa kwa sababu Babu yake hana undugu na Mkapa. Unless useme anatumia U-bin toka upande wa mama!

Erio alikuwa ametoka DODOMA kuzima soo la kufukuza mameneja watatu lilikuwa liibuliwe na Kamati ya Fedha maana ameingilia ukaguzi unaofanywa na CAG kwa agizo la Kamati ya fedha na mashirika ya Umma, Kamati ya ZITTO.
Nina shaka na hizi taarifa. PPF na taasisi nyingine zote zilizo chini ya Hazina walitakiwa wawe bungeni jana kwa ajili ya Bajeti ya Wizara ya Fedha. Na kama ulifuatilia kipindi cha bunge TBC1 wakati Speaker anatambulisha wageni wa Waziri wa Fedha William Erio toka PPF, Harry Kitilya toka TRA na wengine walitambulishwa. Sasa hii hoja kwamba alienda kuzima soo la kufukuza mameneja sio sahihi? Na angezimaje?
 
Wakubwa wana leseni ya kuua wanyonge.
Tunafahamu fika hakutakuwa na muendelezo wa kesi.


Haya mawazo tunaona matokeo yake kila siku.Ndiyo maana ikitokea ajali popote, wananchi wanakimbilia kumshambulia dereva na kuharibu gari.

Ina maana ajali zote madereva ndio wana makosa? Je mnajua kuna watu wazemebe sana barabarani? Kuna walevi na watu wasioogopa magari lakini wanaoogopa matone ya mvua!

Je, mnajua kuwa kila anayeendesha gari ana uwezekano wa kufanya ajali?
Leo mtamshambulia sana huyo dereva wa Erio, kesho itakuwa ninyi au ni kwa vile "hamna majina" ndio mnadhani mtaonewa huruma? Siku hiyo ikifika mkapigwa mawe na waenda kwa miguu ndio mtakumbuka mnayoyasema hapa.

Narudia tena AJALI YAWEZA KUMKUTA MTU YEYOTE ANAYEENDESHA GARI.
 
mkuu huyo ndio aliebadilisha bajeti ya ngeleja ikapita nafikiri ajahonga ila ni makubaliano la maana MUNGU amuweke marehemu peponi
hata walipwe malaki atorudi mkuu jiulize wangapi wamekimbia baada ya kugonhga nikupe kisa cha huku dar kuna shetan kagonga mtoto magomen akaomba anampeleka hospital kaja kumtupa huku cocobeach mtoto akakutwa amefia huko ...sasa kama amempa hata msaada wa kumpeleka hospital hiyo ni step nyingine
 
Habari ina utata kidogo,, cause hata kama kweli ni ajali (achilia mbali utata wa DG kuwepo Dodoma ama PPF dar) still ni traffic case ya kawaida though ni fatal lakini inamwelekea DEREVA wa gari husika. Si DG ambaye was a mere passenger,, so hata kama ni kweli still the accident has something to do with the driver,hata ikifikishwa mahakamani haiwezi kuwa kashfa kwa DG
 
DG wa PPF alikuwa ni abiria, sasa kwa nini alihangaika kuhonga? Amehonga zaidi ya 10M ili RPC wa Morogoro afiche siri.

Jana kagongwa mfanyakazi wa Swissport, wana JF wameonyesha masikitiko makubwa na kumwaga lawama nyingi kwa dereva. Gari la PPF limeua mtu malalahoi wana JF wanasema kutoa taarifa humu JF ni majungu.

Mkulima si mtu bali mfanyakazi wa Swissport ndio mtu, tujirekebishe.

RIP NYOTE


Habari ina utata kidogo,, cause hata kama kweli ni ajali (achilia mbali utata wa DG kuwepo Dodoma ama PPF dar) still ni traffic case ya kawaida though ni fatal lakini inamwelekea DEREVA wa gari husika. Si DG ambaye was a mere passenger,, so hata kama ni kweli still the accident has something to do with the driver,hata ikifikishwa mahakamani haiwezi kuwa kashfa kwa DG
 
alimgonga katika mazingira gani?haiingi kichwani kuwa mtu aue binadamu mwenzake halafu in less than a week aanze kujisifia kwa wenzake,mara nyingi watu wa namna hii wanauchunaga kwa muda mrefu.anyway Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu na awaadhibu hao waliotenda hilo jambo
 
Back
Top Bottom