Gari inayojazwa hewa badala ya mafuta jitaarisheni 2013!!!

Mkuu japo sijakuelewa vizuri hapo, ila hewa, upepo na gesi asilia ni mifumo hali tu, ila hii gari inaonekana kutumia mfumo hewa kama sijakosea ndio upepo huo.

Pouwa bana labda tofauti ni lugha tu
 
Tofauti luga tu siyo?

mmh kwa ninavyofahamu AIR(oxygen) = HEWA ndio hii tunayoivuta wanadamu na viumbe wengine
Halafu GAS = GESI hili ni neno la ujumla ambalo hujumuisha sio oxygen tu bali hata gesi nyingine kama carbondioxide, hydrogen sulphide, mvuke wa maji, hydrogen n.k
 
Tuendelee kuelimishana hivyohivyo mweshowe nadhani tujaconlude jibu sahihi asante kwa hilo mkuu
 
gari gani hata sitaweza kuvunja kishoka?,,,,waniwekee dirisha bwana ndo nitanunua,kishoka kina raha yake...
 
Back
Top Bottom