Gari Inauzwa

Usihofu nilikuwa namjibu mdau alipokuwa ame-comment reasons for sale owner Fed up kwamba mtanzania hutakiwi kumwambia reason ya kuonyesha una shida vinginevyo atakushusha chini kama ananunua pikipiki kisa umemwambia una shida na ndio maana nikamwambia humu JF wengi huwa wana reason hiyo (based on previous experience) though wakati mwingine si lazima mtu ajue kwanini unauza

Got yaa...I kinda overreacted,,,
 
hiyo ukiuza hata kwa mil 1 wewe jembe,hiyo ukiichukua si utafahamiana na mafundi haraka sana,
 
Naomba kukuuliza, gari hiyo haijabadilishwa engine?????? Rangi yake ni ya asili kwa maana ya nyeupe?????
 
Mkuu tumekusoma naona umeamua umtoe member mmoja wa Jf awe anashinda garage aache kuchangia mawazo humu ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom