Gari inauzwa

fundi-eric

New Member
Oct 17, 2011
4
0
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao...na namba plate ni BT something. Interested piga namba 0774303884 au kabla ya saa kumi na mbili na nusu jioni.:photo:!!
 
Lipo mkoa gani?
Maana kuna mdada amehongwa na jamaa yangu na kuna tetesi anataka kulipiga mnada wakati kadi jamaa ndio anayo.

Nilikuwa sina appetite ya lunch, kwa kicheko hiki nimepata hamu ya kula. Asante sana.
 
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao...na namba plate ni BT something. Interested piga namba 0774303884 au kabla ya saa kumi na mbili na nusu jioni.:photo:!!
Wnajua 'kutunza ''vyombo vyao'' tu!!
Magari hawajui hawa......waharibifu sana!!!
 
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao..na namba plate ni BT something. Interested piga namba 0774303884 au kabla ya saa kumi na mbili na nusu jioni.:photo:!!

Fundi umejuaje apo kwenye nyekundu!?..na hiyo Avatar yako?
 
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao...na namba plate ni BT something. Interested piga namba 0774303884 au kabla ya saa kumi na mbili na nusu jioni.:photo:!!

Ungeweka na picha ya gari lenyewe.
Wadada siku hizi wanasifika kugonga gonga magari mara utaona nyuma limepigwa puti au mbele hawapo makini sana
 
Hilo gari ni la metallic silver, aina ya exceed and its really oerfect. Nitaipost kesho leo nimeshindwa mizunguko na mambo mengi. its 10 m ila negotiable. same contact incase of queries.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom