Gari inauzwa wadau

Dawson

Member
Mar 6, 2009
43
3
Gari inauzwa Mistubishi Pajero Intercooler Turbo, 3 Doors, Metalic Green,2500cc Diesel, Manual, Bullbar, Rear Spoiler, New Tyres nzima inatembea ni mpya bei milioni 7.5m. haijaenda bodi hata mara moja,

WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0754 360149/ 0786 722 682
 
Attachments

  • Image097.jpg
    Image097.jpg
    62.1 KB · Views: 93
  • Image134.jpg
    Image134.jpg
    12.7 KB · Views: 101
  • Pajero2.jpg
    Pajero2.jpg
    38.3 KB · Views: 85
Gari inauzwa Mistubishi Pajero Intercooler Turbo, 3 Doors, Metalic Green,2500cc Diesel, Manual, Bullbar, Rear Spoiler, New Tyres nzima inatembea ni mpya bei milioni 7.5m. haijaenda bodi hata mara moja,

WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0754 360149/ 0786 722 682

Pajero mpya haiwezikuuzwa kwa 7.5m.
Au neno mpya halina maana siku hizi? Hata huko japan wenyewe wanaandika magari ya aina hii kuwa ni "used" kwamba yashatumika, sio mpya.
Wewe waambie watu kuwa gari imetumika na imetembea km kadhaa, ni ya mwaka fulani, ...
 
Yaani nimecheka mpaka nataka kufaaaaaa.yaani unga cocaine?makubwaaaaa

Usicheke ndugu yangu, Nina mtoto wa Ndugu yangu aliuza RAV 4 used kwa million 4 tu kwani alikuwa na kiu ya kufa, ndugu tuliposikia tulitaka turudishe pesa, wee jamaaa akawa mbogo na documents zake hao tukaishia tukipangusa ******
 
Wajumbe sorry kwa maelezo ya mwanzo gari ni used (imetumika) na inatembea ya mwaka 1995 km 150,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom