Gari Inauzwa TZS 6,900,000/=

Hello!

Make & Model: Toyota Platz 2001,
Imported: 2008
Engine:1000cc
Km: 70,000
Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition.
Contact :0715140247
.View attachment 56728View attachment 56730View attachment 56731View attachment 56732View attachment 56733View attachment 56734

Information ulizoleta, mwaka wa car manufacture na gari inavyoonekana nimechoka. Ingawa inaonekana gari ni ya karibuni lakini mwonekano wa nje hauakisi na information ulizoleta, kwani laonekana gari lina kamchoko.
 
Hakuna gari ya milioni 6.9 hapa na atakayetoa pesa yake kununua hiyo ni mjinga. Hapo udadali tu unafanyika. Gari imechoka hivi unauza milioni 6.9?
 
Hizo RIM kiboko

Hakuna gari ya milioni 6.9 hapa na atakayetoa pesa yake kununua hiyo ni mjinga. Hapo udadali tu unafanyika. Gari imechoka hivi unauza milioni 6.9?

Hehe, tatizo wabongo mmeshazoea scrapers ambazo zimenyooshwa na kupigwa rangi. Hiyo gari nauza as is. I see no point ya kwenda kuanza kuipaka rangi na kuipigilia wheel covers and all and then nitangaze bei ya 7.5M and above. Wewe kama unajua gari utaicheki na kujua kwamba ipo in an excellent condition na manjonjo mengine unafanya mwenyewe. Mngekua mnajua bei ya magari kidogo, mngefahamu that it's a really sweet deal. Do your research kabla ya ku-post au ku-reply post sio una-reply only because you got nothing better to do.
 
Mkuu hiligari bado bomba lakini vip hapo kwenye kilometa inakuwaje kulingana na umriwagari inawezekana kuwa hilogari imetembea kilometa 70000

Information ulizoleta, mwaka wa car manufacture na gari inavyoonekana nimechoka. Ingawa inaonekana gari ni ya karibuni lakini mwonekano wa nje hauakisi na information ulizoleta, kwani laonekana gari lina kamchoko.
 
Information ulizoleta, mwaka wa car manufacture na gari inavyoonekana nimechoka. Ingawa inaonekana gari ni ya karibuni lakini mwonekano wa nje hauakisi na information ulizoleta, kwani laonekana gari lina kamchoko.
Kibongo bongo kuganga njaa kwa kupiga tax bubu time za nite,pengine hii ikawa chanzo cha mchoko wa bodi!
 
Hehe, tatizo wabongo mmeshazoea scrapers ambazo zimenyooshwa na kupigwa rangi. Hiyo gari nauza as is. I see no point ya kwenda kuanza kuipaka rangi na kuipigilia wheel covers and all and then nitangaze bei ya 7.5M and above. Wewe kama unajua gari utaicheki na kujua kwamba ipo in an excellent condition na manjonjo mengine unafanya mwenyewe. Mngekua mnajua bei ya magari kidogo, mngefahamu that it's a really sweet deal. Do your research kabla ya ku-post au ku-reply post sio una-reply only because you got nothing better to do.

ujumbe umefika, si bora hata hizo scraper kuliko hiyo gari unayouza milioni 6.9 yahani umesikia ushuru kupanda ndo unatuuzia kimeo kwa bei hiyo? hivi mi nikiweka gari ya milioni 7 hapo hiyo ya kwako nayo gari? ama ndo hizo za wizi? kwa vile hatujui bei ya magari ndo unatubambika eti heee? magari yalivyojaa kwenye yard mpaka yanapata kutu leo unatuwekea kimeo hicho? irudishe japan tuone kama wataipokea ndo utajua ni kimeo hicho
 
Mkuu hiligari bado bomba lakini vip hapo kwenye kilometa inakuwaje kulingana na umriwagari inawezekana kuwa hilogari imetembea kilometa 70000

Ukiangalia kwa umakini gari nyingi zinazouzwa Tanzania KM huwa zipo chini ya 100,000km lakini zimezeeka,

Model 2008
attachment.php
km 70,000

NIFAHAMISHE .: Uza Nunua :.

http://sawio.co.tz/auction_stock.php

Wakati za Japan kama zinazouzwa Tradecarview utakuta Km ndefu lakini gari bado safi, KUWA MWANGALIFU NA FIKIRIA MARA MBILI KUNUNUA GARI DAR

Toyota / Platz - Japanese used cars exports and Japan car import / Sort by : Price - Low to High / Page1 [ tradecarview ]

Model 1999

01w.jpg

Km 106,150
 
ujumbe umefika, si bora hata hizo scraper kuliko hiyo gari unayouza milioni 6.9 yahani umesikia ushuru kupanda ndo unatuuzia kimeo kwa bei hiyo? hivi mi nikiweka gari ya milioni 7 hapo hiyo ya kwako nayo gari? ama ndo hizo za wizi? kwa vile hatujui bei ya magari ndo unatubambika eti heee? magari yalivyojaa kwenye yard mpaka yanapata kutu leo unatuwekea kimeo hicho? irudishe japan tuone kama wataipokea ndo utajua ni kimeo hicho

Dang! kuna watu wana vichwa vigumu aisee. Nimeshakwambia hii gari ipo kwenye EXCELLENT condition. Haya mayowe unayopiga hapa ni ya rangi na scratches. You are NOT in a position to judge this car bila kuifanyia inspection.

Again: U DON'T KNOW ABOUT CARS. Ningechukua kimeo chochote mtaani nikakupakia rangi hapo ungefyata mkia na usingeongea lolote. Bottom line: 1) Acha wanaojua magari waongee 2) The way unavyoandika utumbo ni obvious kwamba hata ningeweka bei 1M you wouldn't be in a position to buy. On a second thought, hata ningeamua nikuhonge hiyo gari, bado ingebidi utafute kidume kingine uwe unapiga vibomu vya fuel na maintenance.

A nutcase who starts banal and mediocre threads like https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/148795-nampenda-martha-mwaipaja.html and https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/158016-kongota.html should, at least, know better than contributing to serious threads.

Nakushauri uendelee kutumia muda wako kutafuta bongo movies' stubs online ( https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/154106-movie-za-kibongo-swahili-movies.html ) badala ya kuchangia things you don't know about. Next time utakapowashwa kuandika tena kwenye hii thread soma vizuri my previous responses to your posts and come up with something NEW.

Do not use internet anonymity to keep repeating yourself like a cheap broken record and posting stuff that you can not back up with facts.
 
Wakuu, this is the home of great thinkers, na hili ni jukwaa la biashara...sioni point ya kuponda na kukashifu biashara ya mtu, kumbukeni biashara haigombi kama huwezi kununua anachouza mwenzio ni bora kukaa kimya, mbona Mr. Price wanauza nguo kwa bei mara mia ya bei za karume, buguruni, mwenge na kariakoo wakati quality ya nguo ni ile ile??? Tuache siasa.
 
Mkuu hapo umenena. Hapa kuna members wanaopenda sana kukashifu post za wenzao. Jama angeweka tangazo bila picha, wote wangekujajuu kuulizia hizo picha. Sasa kawawekea kila kitu lakini bado hawakubali...grrrrrr. wabongo bana!!
 
Ukiangalia kwa umakini gari nyingi zinazouzwa Tanzania KM huwa zipo chini ya 100,000km lakini zimezeeka,

Model 2008
attachment.php
km 70,000

NIFAHAMISHE .: Uza Nunua :.

SAWIO COMMISSION AGENTS

Wakati za Japan kama zinazouzwa Tradecarview utakuta Km ndefu lakini gari bado safi, KUWA MWANGALIFU NA FIKIRIA MARA MBILI KUNUNUA GARI DAR

Toyota / Platz - Japanese used cars exports and Japan car import / Sort by : Price - Low to High / Page1 [ tradecarview ]

Model 1999

01w.jpg

Km 106,150

Hehe. Kijana, tofautisha mwaka wa ku-import and model. Nimeandika Make/Model: Toyota Platz 2001 and NOT Toyota Platz 2008. Mwaka wa ku-import ndio 2008. Sio lazima kila thread uwe unachangia. Kama huelewi vitu kaa kimya.
 
Excellent condition bongo kaka? Na Japan nao watasemaje? Usijione kuuza gari ndo unajuwa sana kuhusu magari na wala ungeyajua magari usingeweka kimeo hicho hapo kwa bei hiyo. Mbona kuna magari bomba tu mtaani yanauzwa bei nafuu. mi nakuapia hiyo gari ukipata mteja basi ni wale malimbukeni wa magari aliyekopa hela ama amestaafu anataka gari ya haraka haraka. Wabongo bwana yahani mnakaa hamfanyi kazi halafu mnataka kutajirikia kwenye migongo ya wengine kwa ulanguzi na utapeli
81224]Dang! kuna watu wana vichwa vigumu aisee. Nimeshakwambia hii gari ipo kwenye EXCELLENT condition. Haya mayowe unayopiga hapa ni ya rangi na scratches. You are NOT in a position to judge this car bila kuifanyia inspection. Again: U DON'T KNOW SH*T ABOUT CARS. Ningechukua kimeo chochote mtaani nikakupakia rangi hapo ungefyata mkia na usingeongea lolote. Bottom line: 1) Acha wanaojua magari waongee 2) The way unavyoandika utumbo ni obvious kwamba hata ningeweka bei 1M you wouldn't be in a position to buy. On a second thought, hata ningeamua nikuhonge hiyo gari, bado ingebidi utafute kidume kingine uwe unapiga vibomu vya fuel na maintenance. A nutcase who starts banal and mediocre threads like https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/148795-nampenda-martha-mwaipaja.html and https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/158016-kongota.html should, at least, know better than contributing to serious threads. Nakushauri uendelee kutumia muda wako kutafuta bongo movies' stubs online ( https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/154106-movie-za-kibongo-swahili-movies.html ) badala ya kuchangia things you don't know sh*t about. Next time utakapowashwa kuandika tena kwenye hii thread soma vizuri my previous responses to your posts and come up with something NEW. Do not use internet anonymity to keep repeating yourself like a cheap broken record and posting stuff that you can not back up with facts.
 
Dang! kuna watu wana vichwa vigumu aisee. Nimeshakwambia hii gari ipo kwenye EXCELLENT condition. Haya mayowe unayopiga hapa ni ya rangi na scratches. You are NOT in a position to judge this car bila kuifanyia inspection. Again: U DON'T KNOW SH*T ABOUT CARS. Ningechukua kimeo chochote mtaani nikakupakia rangi hapo ungefyata mkia na usingeongea lolote. Bottom line: 1) Acha wanaojua magari waongee 2) The way unavyoandika utumbo ni obvious kwamba hata ningeweka bei 1M you wouldn't be in a position to buy. On a second thought, hata ningeamua nikuhonge hiyo gari, bado ingebidi utafute kidume kingine uwe unapiga vibomu vya fuel na maintenance. A nutcase who starts banal and mediocre threads like https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/148795-nampenda-martha-mwaipaja.html and https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/158016-kongota.html should, at least, know better than contributing to serious threads. Nakushauri uendelee kutumia muda wako kutafuta bongo movies' stubs online ( https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/154106-movie-za-kibongo-swahili-movies.html ) badala ya kuchangia things you don't know sh*t about. Next time utakapowashwa kuandika tena kwenye hii thread soma vizuri my previous responses to your posts and come up with something NEW. Do not use internet anonymity to keep repeating yourself like a cheap broken record and posting stuff that you can not back up with facts.

Angalia mambo hayo usije ukaona sisi washamba hatujui sehemu za kupata magari mazuri kwa bei nafuu sio takataka hiyo hapo.
2004 TOYOTA PLATZ F L PACKAGE Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

1999 TOYOTA PLATZ Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

2002 TOYOTA PLATZ X Japanese used cars on sale , Import from Japan at Autorec Enterprise,LTD

we gari sijui ya mwaka gani hiyo unatuuzia milioni 7 na yadi nao watauzaje?
 
Hapo ni kununua ugonjwa gari imeingia toka 2008 mpaka leo miaka mi nne bado unauza milioni 6.9? hebu tuambie wakati inaingia ulinunulia bei gani ili tuweze piga depreciation, we unataka kutuuzia gari kama kiwanja bhana?
 
Excellent condition bongo kaka? Na Japan nao watasemaje? Usijione kuuza gari ndo unajuwa sana kuhusu magari na wala ungeyajua magari usingeweka kimeo hicho hapo kwa bei hiyo. Mbona kuna magari bomba tu mtaani yanauzwa bei nafuu. mi nakuapia hiyo gari ukipata mteja basi ni wale malimbukeni wa magari aliyekopa hela ama amestaafu anataka gari ya haraka haraka. Wabongo bwana yahani mnakaa hamfanyi kazi halafu mnataka kutajirikia kwenye migongo ya wengine kwa ulanguzi na utapeli

Hapo ni kununua ugonjwa gari imeingia toka 2008 mpaka leo miaka mi nne bado unauza milioni 6.9? hebu tuambie wakati inaingia ulinunulia bei gani ili tuweze piga depreciation, we unataka kutuuzia gari kama kiwanja bhana?

Mpendwa Bibi yutong,

Kutokana na juhudi ulizoonesha kwenye kuchangia katika uzi huu pamoja na malalamiko kadha wa kadha uliyotoa kuhusu ukubwa wa bei ya bidhaa, nimeamua kukupa punguzo la asilimia 99% na hivyo kukuuzia bidhaa hiyo kwa shilingi za kitanzania 69,000 taslimu. Ukiwa tayari umeshakusanya kiwango hicho cha fedha kuwa huru kuwasiliana nami wakati wowote nikupe bidhaa hiyo. Nitahakikisha nimeiweka tu kukusubiri utakapokuwa tayari kwa malipo.Kama una malalamiko zaidi au unahitaji punguzo zaidi usisite kuwasiliana nami au kuandika tu katika uzi huu. Usiwe na hofu kuhusu ukarabati wa bidhaa baada ya manunuzi kwani nimeamua nitakufanyia bure kwa kipindi cha miaka 10. Ingawa sijaamua kuwa nakujazia mafuta, jisikie huru kuwasiliana nami wakati wowote utakapohitaji hela ya mafuta pia baada ya manunuzi. Ila kuna sharti moja tu: Nitumie picha yako nione kama unafaa kupewa punguzo hilo na marupurupu hayo. Nakushukuru sana na natumai tutafanya biashara.

Ma-salaam,
CarForSale

PS. Tuma picha kwenda BlackMamba@BigBlackDudes.com
 
Back
Top Bottom