Gari inauzwa toyota chaser

Duh hiyo gari kali....! Haya wenye hamu na mikangafu karibuni
 
Last edited:
Mzee!Habari!

Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620

Regards
OP

Hii sababu inajikanganya na hii inayofuata.
 
Mkuu nashukuru kwa kuwa GARI imeuzika sasa pamoja na wadau wote waliokuwa wakisoma Jamiiforums kwani hiki ni kitu cha uhakika bila shaka inatubidi tushirikiane kwa sana ili kukiboresha zaidi. pia pongezi kwa kuweza kuwa na gazeti huru la Jamiiforums shime wadau tulininunue sana na mwisho hilo gazeti tunaomba lifike vijijini kwani kuna baadhi ya magazeti hayafiki mpaka siku moja ipite.
regards
op.
 
Mkuu nashukuru kwa kuwa GARI imeuzika Toyota Chaser T921 AEA sasa pamoja na wadau wote waliokuwa wakisoma Jamiiforums kwani hiki ni kitu cha uhakika bila shaka inatubidi tushirikiane kwa sana ili kukiboresha zaidi. pia pongezi kwa kuweza kuwa na gazeti huru la Jamiiforums shime wadau tulininunue sana na mwisho hilo gazeti tunaomba lifike vijijini kwani kuna baadhi ya magazeti hayafiki mpaka siku moja ipite.
regards
op.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom