Gari inauzwa toyota chaser

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Mzee!Habari!

Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620

Regards
OP
 
OP,

Weka picha; ionyeshe hali ya board yake na ilivyo ndani. Ni automatic a mannual? Ni ya mwaka gani na imretembea km ngapi?

Ukionyesha hivyo napata pesa haraka kama ko Dar
 
Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA ya mwaka 1997 hali ya bodi nzuri haijapata ajali iko barabarani na hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620. IPO DAR ES SALAAM KEKO JUU KARIBUNI SANA

Regards
OP

We bana ehh, tangazo ndio umeshaliweka hivyo!

Gari yenye hali nzuri huwezi kuiuza 2.5m, hata kama una shida ya pesa.

Kama vipi lipeleke kwa car dealers waweza liuza kwa bei zaidi ya hiyo.
 
Mzee acha kuonge mambo ambayo huna uhakika nayo mimi nimekwambia kama inafaa fedha unazo cha kufanya fika shule ya msingi Mgulani utanipigia simu unakuja kuiona ili uamini kwani unataka kuongea tu ok

wellcome
 
We bana ehh, tangazo ndio umeshaliweka hivyo!

Gari yenye hali nzuri huwezi kuiuza 2.5m, hata kama una shida ya pesa.

Kama vipi lipeleke kwa car dealers waweza liuza kwa bei zaidi ya hiyo.

Unataka auze 7 millioni? Bei ni uamuzi wa mtu. Pia nathani hujui alivyolipata.

Muhimu atuambie yafuatayo.

1. year of manufacture.
2. Iliingia lini TZ
3. KMS
4. Kama iliwahi kula mzinga amma la
5. Pia atuwekee picha kamili

Ili mtu afanye maamuzi ya kumtafuta amma la, kwani kumtafuta kama sandakarawe ni gharama, lazima ajue muda ni gharama pia na transport ni gharama. Hivyo binafsi naomba atupe hizo taarifa.
 
We bana ehh, tangazo ndio umeshaliweka hivyo!

Gari yenye hali nzuri huwezi kuiuza 2.5m, hata kama una shida ya pesa.

Kama vipi lipeleke kwa car dealers waweza liuza kwa bei zaidi ya hiyo.

Mkuu huwezi kumpangia mtu bei ya kitu chake. Na kama kwako hizo 2.5m ni pesa ndogo basi kuna watu wanaona hiyo pesa ni mlima, watu hatufanani.
 
Wadau! mambo vipi? Tumsaidie Original Pastor jamani amekwama.
GARI INAUZWA Toyota Chaser year 1999 kuingia Tanzania KM 169600 iko katika hali nzuri bei Maelewano inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya kubadilisha gari. mawasiliano.email: frankrwegoshora@yahoo.com
 
Wekeni picha jamani au hayo mabody yameliwa na mchwa mnaogopa kuweka?
 
OP alituma picha nikasahau kuziweka wakuu... Hizi hapa:

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • DSC01395.jpg
    DSC01395.jpg
    42.9 KB · Views: 364
  • DSC01396.jpg
    DSC01396.jpg
    50.6 KB · Views: 361
  • DSC01397.jpg
    DSC01397.jpg
    36.9 KB · Views: 364
  • DSC01401.jpg
    DSC01401.jpg
    46.1 KB · Views: 360
Wadau! mambo vipi? Tumsaidie Original Pastor jamani amekwama.
GARI INAUZWA Toyota Chaser year 1999 kuingia Tanzania KM 169600 iko katika hali nzuri bei Maelewano inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya kubadilisha gari. mawasiliano.email: frankrwegoshora@yahoo.com

heee sababu ya kuuza imebadilika tena!!!from ada ya mtoto kwenda kuwa unabadilisha gari!!!!makubwa haya tena.:confused:
 
Bwana yesu Asifiwe!

Unajua nilikuwa nahitaji ada sasa Urenga One amenisaidia ndio maana kesi imebakia ni kubadilisha gari. wewe elewa hivyo ndugu yangu. Usiongope mimi nitakuombea maombi wewe upate nyingi uje uchukue najua Bwana Yesu yupo nawe anakuongoza kulichukua hili Gari
Amen
 
Mzee!Habari!

Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620

Regards
OP

Kama hujapata mteja mpaka sasa nipigie kwenye 0718844824 tufanye biashara

Kwa nini usimpigie wewe si ameweka namba zake hapo juu?
 
Jamani wekeni picha ....watanzania hata biashara tuko wavivu kufanya

hilo gari ni kama hili?

tn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom