Gari iliyobeba mwili wa Kim kumbe ni ya Kimarekani!!!!

Kim kawafungia mpaka hawajui concept nzima ya brand kiasi kwamba hawakujua kwamba hiyo soo.

Khaa! hii kali

Ni kama Nyerere aliyehubiri Ujamaa na kujitegemea Tanzania na kuvunja uhusiano na Waingereza over Ian Smith kwenda kufia hospitali ya St. Thomas, London Uingereza wakati tuna Muhimbili yetu.
"you can run but you can't hide" na ndiyo hapo jamaa wanapotuzidi.
 
Sidhani ikulu ya Korea ina magari maalum ya kuchukua maiti kwenda mazikoni, magari haya huchukuliwa au tuseme kukodi kutoka makampuni ya Funeral Homes (majengo ya kuhifadhia maiti na huduma za mazishi) na kisha kumalizika shughuli ya mazishi gari hurudishwa kwa hao wakodishaji wa magari ya kuchukulia maiti.

jana aljazeera walisema waliamua kutumia hiyo gari kubebea mwili wake kwa sababu jamaa alikuwa anapenda sana kutembelea aina hiyo ya gari
 
Heri yao wale ambao walau walijaribu - Ole wao wale ambao hawajathubutu kabisa
 
  • Thanks
Reactions: RR
He was so weird that N. Korea has nuclear weapons.....
This westerners won't admit any brilliance out of them....
 
20. His biography also says that he does not defecate or urinate

enhanced-buzz-24766-1324316602-9.jpg


Anazo 2o ridiculous things, nimeipenda hiyo hapo juu namba 20...Yani wananchi walidanganywa mzee mzima haendi haja lol
20 Ridiculous Things You Never Knew About Kim Jong-Il



Atleast we have the same taste in movies....
 
Sipendi mtu akiishadadia marekani,kisa? Wewe utabakia kuwa mtripolitania tu siku zote
 
Ni kama Nyerere aliyehubiri Ujamaa na kujitegemea Tanzania na kuvunja uhusiano na Waingereza over Ian Smith kwenda kufia hospitali ya St. Thomas, London Uingereza wakati tuna Muhimbili yetu.

Huko st Thomas alipelekwa akiwa mahututi na wapenda kutibiwa ulaya hivi ukiwa mahututi unachagua hospitali?
 
ha ha ha ha bizarre stuffs! lol

Watu wanaojifanya wanachukia Taifa fulani hivi na watu wake in general huwa nawaona mapunguani kiaina yake. Unamkuta mtu anachukia Marekani ile mbaya, hadi individuals. Ukimuuliza atakwambia ni foreign policy yao au mambo yao ya kihistoria. Sasa maamuzi yanayochukuliwa na watendaji Kitaifa wewe unapelekea chuki zako kuwa personal, wapi na wapi!!

Mfano kuna rafiki yangu mmoja M-polish, yeye anachuki wajerumani hata kusalimiana nao kwa kumshika mtu mkono hawezi! Ukimuuliza ni kwanini, anasema kutokana na jinsi alivyofundishwa katika historia. Cha ajabu favorite car yake ni BMW, halafu mjomba wake anaendesha Audi. Na kwa vile anamatatizo ya meno, huwa namwambia, the likelihood kwamba hospitali anayoenda kutibiwa precision instrument zake zote zimeshikwashikwa na Wajerumani ni kubwa...anabakia kununa tu!!

Vivyo hivyo, kuna Mchina rafiki yangu anachukia Wajapani kutokana na mambo ya kihistoria, lakini tv yake na entertainment system zote ni za Wajapani.

Mtu unamkuta anatumia GPS na vifaa vingine kibao ambavyo viko controlled na Wamarekani, lakini chuki inapelekwa hadi kwa watu binafsi. Ni sawasawa na wenzetu wale wanaochukia Wachaga, lakini wakikata kona kwenda kununua vocha inabidi tu wasalimiane na Mangi pale kiosk! Dunia duara, ni kama utando wa buibui. Wee jenga uhasama wako, lakini siku ya siku utanasa tu!!

Yo remind me of the middle east!
 
Aisee kuhusu mtu kuto kwenda haja kwa kweli sio la kweli as ling as biologically he is a human being.
 
Pia nimesikia CNN kuwa wale wote waliokuwa wakiangua vilio kwenye mazishi hawakuwa wakilia machozi ya kweli. Yote hiyo ilikuwa ni propaganda tu kuonyesha kuwa "Dear Leader" alikuwa anakubalika.

Sasa sijui kama ni kweli au la but I can't put anything past those people.
Yep, something fishy with those vilio.
 
Back
Top Bottom