Gari iliyobeba mwili wa Kim kumbe ni ya Kimarekani!!!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,577
Mourners lined the streets of the North Korean capital Pyongyang today, crying and wailing as the funeral procession of their "Dear Leader' Kim Jong-Il, marched slowly through the streets. But a curious detail was that the boxy black hearse that crept through the light snow was a vintage Lincoln Continental.

The choice of a U.S.-made luxury car seems odd for a country that preached a belligerent self reliance, reviled America and was put on President George W. Bush's Axis of Evil list.

Experts at Edmunds.com put the year of the Lincoln at 1976, making the 35-year-old vehicle older than North Korea's 23-year-old new leader Kim Jong-Un.

Bofya hapo kwa habari zaidi Korean Dictator's Final Ride Was In a Vintage Lincoln Continental - Yahoo! News
 
Actually hawana kujitegemea hivyo na weshapokea tani za kutosha za mchele kutoka Marekani mara kadha wa kadha
 
Inaonekana alikua anachukia marekani ila hakua anachukia kila kitu cha kimarekani. Plus, hicho kitendo kimempa publicity zaidi kwahiyo labda mwenyewe aliagiza iwe hivyo.
 
Inaonekana alikua anachukia marekani ila hakua anachukia kila kitu cha kimarekani. Plus, hicho kitendo kimempa publicity zaidi kwahiyo labda mwenyewe aliagiza iwe hivyo.

Ni vigumu mno kuichukia Marekani na vitu vyake. Sijui hata utaanzia wapi na kuishia wapi.
 
Mtu yeyote anayeelewa kwamba Kim Il Jong alikuwa na collection ya movies kama 20,000 , mostly from Hollywood, hatashangaa.

Yeye mwenyewe alijua na kusema the whole thing is a charade, kwamba upendo anaoonyeshwa na wananchi wake ni kama moja ya movies zake, a show.
 
Sidhani ikulu ya Korea ina magari maalum ya kuchukua maiti kwenda mazikoni, magari haya huchukuliwa au tuseme kukodi kutoka makampuni ya Funeral Homes (majengo ya kuhifadhia maiti na huduma za mazishi) na kisha kumalizika shughuli ya mazishi gari hurudishwa kwa hao wakodishaji wa magari ya kuchukulia maiti.
 
Ni vigumu mno kuichukia Marekani na vitu vyake. Sijui hata utaanzia wapi na kuishia wapi.

Kazi sana, hata wanaoliaga utandawazi hauna maana bado ni wafuasi sembuse wanaodai hawaipendi marekani?Labda kwa maneno tu, ila mwisho wa siku wanarudi kwenye kufurahia products za mmarekani kama kawaida.
 
Sijui huko North Korea wanakunywa Coca Cola na Pepsi?

COCA-COLA and Kentucky Fried Chicken (KFC) have recently agreed with North Korean officials to open branches in Pyongyang, according to news reports.

Some 10 executives from the companies visited Pyongyang from July 5-9 at the invitation of the North's Korea Taepung International Investment Group, a major channel for attracting foreign investment.

Sources said their branches will be established as early as September.

The North's decision to accept the symbols of capitalism and American culture is the latest in the poverty-stricken country's moves to open up to the outside world.

North Korea recently agreed with the Associated Press to open a permanent bureau in its capital. It also signed a video supply agreement with Thomson Reuters. -- KOREA HERALD/ANN

Hii habari ya July mwaka huu 2011.
 
Sidhani ikulu ya Korea ina magari maalum ya kuchukua maiti kwenda mazikoni, magari haya huchukuliwa au tuseme kukodi kutoka makampuni ya Funeral Homes (majengo ya kuhifadhia maiti na huduma za mazishi) na kisha kumalizika shughuli ya mazishi gari hurudishwa kwa hao wakodishaji wa magari ya kuchukulia maiti.

I doubt Wakorea wana "Funeral Homes". Wanafuatisha Confucian na family hierarchies zaidi. Hii ni zaidi kwa mtu kama Kim Il Jong kila kitu kinakuwa handled na state.

I predict within 20 years wata libelarise uchumi wao, wahaanza taratibu na Coca Cola pamoja na Kentucky fried chicken.

I suspect nia ya Kim Il Jong ilikuwa ku libelarise gradually over a long time, ndiyo maana hata akapeleka mwanae kwenda kusoma Switzerland.

Lakini akasema "over my dead body".
 
COCA-COLA and Kentucky Fried Chicken (KFC) have recently agreed with North Korean officials to open branches in Pyongyang, according to news reports.

The North's decision to accept the symbols of capitalism and American culture is the latest in the poverty-stricken country's moves to open up to the outside world.

Lol...can't hate on the US forever!
 
Unajua mi nilipoiona hiyo gari nikajisemea kimoyo moyo tu "that car looks an awful lot like American" kumbe nilikuwa sawa!
 
Hawa wakuda wana mambo ya ajabu sana..kuna mwandishi mmoja aliendaga kwene show yao ya innovation kwene late 1990s au early 2000s nafikiri, wakawa wanaonesha eti computer ya 'Kikorea' na OS yake, sasa yule mzungu akataka kujua inafanyaje kazi ile kui-restart ndo ikareveal kuwa it is actually a PC. he he he..
 
Pia nimesikia CNN kuwa wale wote waliokuwa wakiangua vilio kwenye mazishi hawakuwa wakilia machozi ya kweli. Yote hiyo ilikuwa ni propaganda tu kuonyesha kuwa "Dear Leader" alikuwa anakubalika.

Sasa sijui kama ni kweli au la but I can't put anything past those people.
 
20. His biography also says that he does not defecate or urinate

enhanced-buzz-24766-1324316602-9.jpg

Anazo 2o ridiculous things, nimeipenda hiyo hapo juu namba 20...Yani wananchi walidanganywa mzee mzima haendi haja lol
20 Ridiculous Things You Never Knew About Kim Jong-Il
 
Back
Top Bottom