gari gani....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi???

na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko.....
 
inafaa kwa biashara ya Taxi na shilingi ngapi???

na pia naombeni input zenu,prons and cons za kuifanya hii biashara mie nataka kujikita uko.....

Kuna cons tu hakuna pros. Mtajirishe dereva. Haya ni mawazo yangu tu
 
Siku hizi ni bodaboda tu. Watu wachache sana wanapanda tax!
 
Back
Top Bottom