Gari aina ya Ferrari lauzwa kwa sh. bilioni 15.5 ili kusaidia waathirika wa tetemeko Italia

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,638
Ferrari-LaFerrari-Charity-1.jpg


Kampuni kubwa ya magari ya Ferrari imeuzwa kwa mnada product yao ya hali ya juu (latest), kwa ajili ya kusaidia walipatwa na janga la tetemeko kubwa lilotokea huko Italy.

Huu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa makampuni yetu mbalimbali hapa nchini kuwa waonyeshe moyo wa dhati..

Gari hilo limevunja record kwa kuuzwa kwa mnada $7million sawa na zaidi ya shs 15.5 Billioni Tshs.

Jamaa hawa wali organize kila kitu wenyewe na kukabidhi pesa katika kamati ya kutengeneza upya makazi ya watu na huduma za jamii.
 
Kwani huku raia hatukuchangia kule kwa manshomile?
Sitakaa nichangie tena maisha yangu yote.
 
Kwa hapa bongo tukichangia tu vijisenti haviendi kwa waathirika kampuni je?
 
Back
Top Bottom