Garden Bistro

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi kuna sehemu ya kwenda Dar zaidi ya hapo?

IMHO i think Kempisky was ok na hata kule nyuma ya SHERATON si pabaya then what else?
 
Garden Bistro malaya kibao.....

ni kweli kabisa me mwenyewe nilikuwa napenda kwenda sana kwenda Garden Bistro na mchumba wangu ila kero kubwa kwangu ni wakina dada walio kuwa wanafanya biashara ya ukahaba ndicho kitu kilikuwa kina ni kera sana.ila ni sehemu nzuri sana ya kutembelea.
 
Kwa wale wasiopenda kunywa bia huku wanafukuza inzi kuna belinda resort ya beach kabisa, kumetulia sana na bei za monde ni za kawaida tu.
 
Kwa wale wanaotaka kujirusha na vitotoz kuna Maisha Club, hivi sasa wamefungua tena Malaika House, kuna program inaitwa Dar Alive - very interesting. Alafu nasikia a revamped club is opening soon!
sasa integemea GT we ni mtu wa kujirusha au unataka kufukuza inzi tu na mamaa! Kwikwikwi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom